Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Wanaume lawama zote kwa wanawake, wakati baadhi yao wana low sperm count...
Ushawai kuona mwanaume kwa mwamposa anatafuta mtoto shidah sio mwanaume shidah mara nyingi ipo kwa mwanamke kupokea sperm na kuwa mtot
 

Weka sawa statistics zako,kuna watu wanazaana kama wachina na wahindi,afrika na waarabu wamepunguza sana kuzaliana.

Naona world population inaenda kuchukuliwa na wahindi na wachina.
 
Wanawake wa ckuiz wanaogopa mimba Sana that's why wengi wamekimbilia family planning methods
 

Umenena vyema kabisa,mimi napinga sana matumizi ya hizi hormonal contraceptives zina vuruga sana mfumo wa uzazi wa mwanamke na shauri mtu anayehitaji kuzitumia hizo awe hana mpango kabisa wa kuzaa.
 
Ma P2 kila siku changanya na Ma K vant, Konyagi, na utoaji mimba holela lazima wanashikaje mimba sasa!

Serious side effects of Option 2​

Along with its needed effects, levonorgestrel (the active ingredient contained in Option 2) may cause some unwanted effects. Although not all of these side effects may occur, if they do occur they may need medical attention.

More common​

  • Heavy or light menstrual bleeding
  • Absent missed or irregular menstrual periods
  • cramps
  • irregular menstruation
  • pain
  • pain in the pelvis
  • stopping of menstrual bleeding
Side effects zote hizi kwa nini uingiaji wa mimba usiwe wa shida na utokaji usiwe rahisi?
kwa wanaotaka kusoma zaidi , soma hapa Postinor-2 (levonorgestrel) emergency contraceptive information | myVMC
 
Kuna pia tatizo la akina mama kujifungua kwa njia ya upasuaji. Kuna wanaopenda kufanya hivyo kwa sababu zao wenyewe kwani wanaomba hivyo lakini WHO inasema sababu za ongezeko ni unene kupita kiasi wa mja mzito au mtoto kuwa mkubwa kuliko nyonga ya mama.
Nini sababu ya unene wa mama na unene wa mtoto tumboni?
  • Ulaji wa vyakula usiofaa
  • kukosa mazoezi
Haya yanasababishwa na wataalamu wa afya wenyewe; wanashauri eti mama akipata mimba apate muda mwingi wa kupumzika! Halafu vile vyakula ambavyo wazee wetu waliwakataza wasichana wasile kuanzia wanapobalehe, sasa hivi wanakula tu kwa kisingizio eti wa zamani walikuwa wachoyo hawakutaka wanawake wafaidi.
Hawatafuti logic na hekima walizokuwa nazo hao wazee. Mtoto alikuwa anakula kila kitu lakini masichana akibalehe tu ndipo anakatazwa kula baadhi ya vyakula ambavyo ndiyo vinasababisha unene wa mama na unene wa mtoto tumboni. - vyakula kama kuku, mayai senene, nyama ya mbuzi nk. Pia akina mama walikuwa wanendelea na kazi kama kawaida na ndiyo maana ilikuwa ni kawaida kusikia mama amejifungua wakati akitoka shambani au mara tu baada ya kutua mtungi wa maji.
 
Hili linaukwer ndani yake ukiangalia saiv wamegundua kuna dawa mbadara wa P2 kuzuia mimba hii sijui wameitoa wapi🤣🤣🤣
 
Ukitaka mwanamke mzuri mwenye rutuba nenda vijijini huko mkuu haya mambo ya p2 na vijiti sidhani kama yapo.

Hawa wa daslaam sio wa kutengenezea familia hasahasa wa kuchezea tu
Aisee huko vijijini ndo hali mbaya..Watoto darasa la sita wanaanza kuweka vijiti na kuchoma sindano.
Kizazi kinaelekea kwisha hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…