johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukweli hauishii kwenye kusemwa tu bali ni lazima uthibitike!Wana CCM kila atakae ongea "UKWELI" lazima apingwe. Tumewazoea.
Hii nchi kwa sasa inakoelekea ni kwenye "full dictatorship"Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana.
Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria.
Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata.
Kwanza Tanzania hakuna dini mbili pekee.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Ponda atapondwa asipofuata sheria za nchi vizuri.
Halafu hao polisi wanakukamata bila sababu ukifika kituoni ndio wanafikilia kosa la kukupa...Hii nchi kwa sasa inakoelekea ni kwenye "full dictatorship"
Hivi nyinyi maccm, mnashindwa nini kujibu hoja kwa hoja, badala yake mnalitegemea Jeshi la Polisi, litumie mabavu katika kujibu hoja za kisiasa?
Bwashee serikali haina dini!Ukweli hauhitaji sheria yoyote kusimama pahala pake.
Udini haufai, nchi hii ni yetu sote, tunahitaji kuwa fair kwa makundi yote ya kijamii.
80% kwa 20% ni too much, haijakaa sawasawa hata kidogo
Waislamu majority wanaunga mkono waraka
Yaani tuache kuwaza namna ya kuendelea kujenga uchumi wa kati tuanze kuumiza kichwa kwa hoja za hovyo hovyo kama hizi?Hii nchi kwa sasa inakoelekea ni kwenye "full dictatorship"
Hivi nyinyi maccm, mnashindwa nini kujibu hoja kwa hoja, badala yake mnalitegemea Jeshi la Polisi, litumie mabavu katika kujibu hoja za kisiasa?
Tutajie mwingine aliyechukua!Nimecheka kama mazuri eti mpaka tarehe 30.6.2020 hakuna mgombea mwingine aliyechukua fomu hivyo tuliona tumpitishe tu huyu yaani ccm wamezoea uwongo
Halafu hao polisi wanakukamata bila sababu ukifika kituoni ndio wanafikilia kosa la kukupa...
Hao majority ni akina nani? Dr Hussein Mwinyi yupo? Mama Samia? Selemani Jaffo? Hamisi Kigwangala? Kassim Majaliwa? Jaji Mkuu Prof Ibrahim Juma? Dr Bashiru Ally? Mufti Abubakar Zubeir? Sheikh Alhadi? BAKWATA yote? Akina nani?Ukweli hauhitaji sheria yoyote kusimama pahala pake.
Udini haufai, nchi hii ni yetu sote, tunahitaji kuwa fair kwa makundi yote ya kijamii.
80% kwa 20% ni too much, haijakaa sawasawa hata kidogo
Waislamu majority wanaunga mkono waraka
Bwashee serikali haina dini!
Ponda....? Sasa mbona hapa kuna wafipa wengi? Hivi nyie wafipa viiipi..! hoja mmekosa atakayejitokeza tu...kulaumu hata kama sio wa kwenu mnaanza kupiga mbinja..sasa huu ndo ule mwaka ruzuku inaenda kukata..!