Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao majority ni akina nani? Dr Hussein Mwinyi yupo? Mama Samia? Selemani Jaffo? Hamisi Kigwangala? Kassim Majaliwa? Jaji Mkuu Prof Ibrahim Juma? Dr Bashiru Ally? Mufti Abubakar Zubeir? Sheikh Alhadi? BAKWATA yote? Akina nani?
Mwenyekiti wa Shura ameukana waraka.
Tuepukane na generalized sweeping statements kama hizo.
Hao majority ni akina nani? Dr Hussein Mwinyi yupo? Mama Samia? Selemani Jaffo? Hamisi Kigwangala? Kassim Majaliwa? Jaji Mkuu Prof Ibrahim Juma? Dr Bashiru Ally? Mufti Abubakar Zubeir? Sheikh Alhadi? BAKWATA yote? Akina nani?
Mwenyekiti wa Shura ameukana waraka.
Tuepukane na generalized sweeping statements kama hizo.
Sawa mkuu, naweza kukubaliana nawe kuhusu hao niliowataja. Una ushahidi gani kuhusu hao majority?Hao uliowataja ni wachache sana katika asilimia nyingi za waislamu nchini.
Mwenyekiti wa shura kuukana waraka haufanyi waraka usiwe wa shura, kaukana yeye binafsi siyo shura iliyoukana.
Hata Petro alimkana Yesu mara tatu hii haimaanishi kuwa ni kweli alikuwa hamjui Yesu
Tutajie mwingine aliyechukua!
Serikali haina dini wala kabila! Hebu acheni kulialiaWana CCM kila atakae ongea "UKWELI" lazima apingwe. Tumewazoea.
Turudi kwenye "HOJA KUU" ya swala la "KUTENDA HAKI", dini zote zinalitilia mkazo hili swala. Na hata mungu awawaonya vikali na amewa ahidi kuwapa adhabu kali sana wale wote wanao wanao "PINDISHA/KUNYIMA/KUDHULUMU" haki.
Hata kama utadhulumu "PIPI MOJA" katika kontena zima la 40FT basi jiandae na adhabu kali sana kwa mola wako.
Kuomba "TUME HURU" ni kwasababu "HAKI ITENDEKE". Sio swala la kichama hilo.
Umma upi unaouzungumzia kukubalika na wapinzani? Mkuu acha kuleta vichekeshoCcm ndio inategemea ruzuku maana haijawahi kuishi nje ya mbeleko ya serikali, toka enzi za mfumo wa chama kimoja. Wapinzani wengi wanajivunia kukubalika na umma kuliko ruzuku.
Sawa mkuu, naweza kukubaliana nawe kuhusu hao niliowataja. Una ushahidi gani kuhusu hao majority?
Ule waraka umewataja makamishna wa polisi usisahau hilo!Wao polisi huwa wanatumwa wakukamate, kisha wanaambiwa wakupe kosa gani. Polisi wao huwa wanaenda kama robots, lakini wenye mashitaka ni viongozi wa ccm. Hivyo polisi wanasubiri wapewe muongozo, kisha ndio waandike kosa kutokana na watoa maagizo.
Umma upi unaouzungumzia kukubalika na wapinzani? Mkuu acha kuleta vichekesho
unaupumbavu sana kichwaniNi simple, tembelea misiba, harusi, shughuli za kijamii zinazohusu waislamu, pindi wakijadili mustakbali wao katika nchi. Hawafurahishwi na namna teuzi zinavyofanywa. Hawafurahiswi na teuzi ambazo kila wakati wao ni kiduchu sana. wanahoji kuwa mbona haziakisi demography ya nchi, mbona inaonekana kundi moja liko over represented kuliko jingine, kwa nini?
Haya wanayazungumza wazi miongoni mwao bila kificho.
Alichokifanya Sheikh ni kukiweka public kwa wider audience tu
wewe ni mzanzibari?Nipeni takwimu za Zanzibar kwanza ndipo nitajua hizo asilimia kama zina uhalisia
Ndugu yangu ogopa sana mtu anayejifanya anamtaja taja sana Mungu. Wengi huwa ni mafedhuli wa kutupwa. We fikiria na uongo wote pamoja na usanii walioufanya pale Dodoma leo, ila jamaa alivyoanza tu kukaribisha wageni aliita viongozi wa dini wasali.Nimecheka kama mazuri eti mpaka tarehe 30.6.2020 hakuna mgombea mwingine aliyechukua fomu hivyo tuliona tumpitishe tu huyu yaani ccm wamezoea uwongo
Hiyo sentesi ya mwisho inafikirisha!Hao uliowataja ni wachache sana katika asilimia nyingi za waislamu nchini.
Mwenyekiti wa shura kuukana waraka haufanyi waraka usiwe wa shura, kaukana yeye binafsi siyo shura iliyoukana.
Hata Petro alimkana Yesu mara tatu hii haimaanishi kuwa ni kweli alikuwa hamjui Yesu
Ule waraka umewataja makamishna wa polisi usisahau hilo!
Ndio maana polisi wako naye ili athibitishe takwimu zake!Ni kweli, ila umewataja kwa mambo ya ukweli. Na tatizo la ule waraka ni ukweli ulio ndani. Kuanzia ubovu wa tume na wametoa mapendekezo, uwiano wa nafasi za uongozi nk. Vitisho havisaidii, cha muhimu ni kufanyia ukweli kilichosemwa. Ukweli ni kuwa tume sio huru, hakuna katiba ya wananchi, uteuzi serikalini ni wa upendeleo fullstop.
Dini ni mbili mahususi na kila dini ina madhebu tofauti.Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana.
Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria.
Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata.
Kwanza Tanzania hakuna dini mbili pekee.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!