Yuko sahihi, viongozi ndio wanasajili, kwa ushauri wa kocha, simba ilikuwepo kabla ya moKiongozi wa Simba ndugu Magori alishawahi kunukuliwa akisema Wao Viongozi wa Simba ndio wanao sajili timu kwakua wachezaji ni Mali ya Klabu na si kocha na Kocha anaweza kutimuliwa wakati wowote...
Kocha ndiye mwenye mahitaji ya mchezaji ili anapofukuzwa kwa timu kushindwa kutimiza malengo aliyopewa asiwe na la kujitetea. Yeye ndiye anautuma uongozi wamletee mchezaji gani. Na hayo ndiyo madai ya makocha wengi kama Morihno.Kiongozi wa Simba ndugu Magori alishawahi kunukuliwa akisema Wao Viongozi wa Simba ndio wanao sajili timu kwakua wachezaji ni Mali ya Klabu na si kocha na Kocha anaweza kutimuliwa wakati wowote...
Kiongozi wa Simba ndugu Magori alishawahi kunukuliwa akisema Wao Viongozi wa Simba ndio wanao sajili timu kwakua wachezaji ni Mali ya Klabu na si kocha na Kocha anaweza kutimuliwa wakati wowote. Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Yanga wachezaji wanasajiliwa na uongozi. Nikukumbushe ivi karibuni Simba imesajili Magarasa matatu mfululizo Kama , Junior Lukosa, Chikwende na Peter Muduhwa Sasa utasema tatizo ni uongozi wa Simba na Mbaka Sasa Mabadiliko ya uendeshaji Simba yameshindikana. MO anaiendesha Simba Kama mpenzi na si mwekezaji na kiuhalisia siku yoyote anaweza akaondoka wakabaki wakina Kaduguda na Hans pop ndio wawekezaji.
Ungetoa majibu ya mtoa mada pasipo kulinganisha na Simba ingekuwa ni vyema sana. Mada inahusu Yanga na mleta uzi katoa hoja kuhusu mapungufu ya kiuongozi hivyo ungempinga kwa hoja zinazohusu Yanga au ungemsapoti kwa hoja pia zinazoihusu Yanga.Kiongozi wa Simba ndugu Magori alishawahi kunukuliwa akisema Wao Viongozi wa Simba ndio wanao sajili timu kwakua wachezaji ni Mali ya Klabu na si kocha na Kocha anaweza kutimuliwa wakati wowote. Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Yanga wachezaji wanasajiliwa na uongozi. Nikukumbushe ivi karibuni Simba imesajili Magarasa matatu mfululizo Kama , Junior Lukosa, Chikwende na Peter Muduhwa Sasa utasema tatizo ni uongozi wa Simba na Mbaka Sasa Mabadiliko ya uendeshaji Simba yameshindikana. MO anaiendesha Simba Kama mpenzi na si mwekezaji na kiuhalisia siku yoyote anaweza akaondoka wakabaki wakina Kaduguda na Hans pop ndio wawekezaji.