Rais Lissu amesema hakuna demokrasia ya kupita bila kupingwa hivyo tusubiri uchaguzi utafanyika tuu katika majimbo hayo Yakima Majaliwa.Wabunge wengi washaenguliwa na tume kwa negotiation kwamba wana madhara lazima waondolewe mapema ili ccm wapite bila kupingwa....
Haya niliyasikia kwa Lissu, lakini leo kapanda mwendokasi, 2015 Lowassa wa CHADEMA alipanda daladala.Ni kwa sababu bado ni mchana kwa huku kwetu Kigoma. Vinginevyo tungekuambia kojoa ulale huna hoja.
Magufuli anadhibitisha nini wakati kwa maisha ya mtanzania mmoja mmoja amefeli kabisa na nchi inaelekea kuwa kama Ethiopia ambako watu wa Marika yote wanakimbia nchi kwenda nje kutafuta maisha hata kwa kusafirishwa kama ng'ombe.
Mosi je kwa akili yako finyu umejuaje chadema haina wabunge makini ye kati ya hao 200+ Wanaogombea unawajua wote? Je hawana sifa zinazohitajika? Je mbona ccm walikuwa na wabunge 200+ ila maguful alichukuwa waliokuwa upinzani na kuwapa vyeo? Aliteua 10 na kuwapa uwaziri je lissu atashindwaje kwa hilo? Je hujui watanzania wengi hawana vyama?Mf
Uongozi ni Kama biashara mfanyabiashara huwa aogopi kuanzisha biashara nyingine kama aliyonayo hailipi
Ulitaka akupe mpaka pesa ya kuhonga?Ni kwa sababu bado ni mchana kwa huku kwetu Kigoma. Vinginevyo tungekuambia kojoa ulale huna hoja.
Magufuli anadhibitisha nini wakati kwa maisha ya mtanzania mmoja mmoja amefeli kabisa na nchi inaelekea kuwa kama Ethiopia ambako watu wa Marika yote wanakimbia nchi kwenda nje kutafuta maisha hata kwa kusafirishwa kama ng'ombe.
Cha ajabu hata huku Tabora, washenzi wamekwisha jua hela, yaani kampeni bila hela haiwezekani. Laa kuna njaa sana ya hela huku.Uko sahihi mleta mada ukiwa na wabunge nchi nzima kazi yao kubwa namba moja ni kunadi mgombea uraisi maaeneo yao Lisu pesa za wafadhili anakula peke yake harushii wenzie wagombea ubunge na udiwani Mpesa Tigo rusha nk kwa wagombea ubunge ili wamnadi anataka watumie gharama zao atasubiri sana anaenda sehemu chache wenzie wote waliowahi gombea walimwaga pesa sana kwa wagombea ubunge
Safari hii hata uwezekano wa Chadema kupata wabunge mdogo sababu madiwani wanatakiwa wamwagiwe pesa na wabunge ili wawanadi maeneo yao na kumnadi mgombea uraisi Chadema wamewatelekeza Lisu anakula mwenyewe pesa za wafadhili hagawii hata chama halafu anatarajia ushindi ni ndoto safari hii Chadema wagombea uraisi ubunge na udiwani watapigwa chini na CCM sio mchezo Lisu anadhani aweza pata kura nyingi bila kumwaga pesa za wafadhii kwa wagombea ubunge na udiwani ili wapate uwezo wa kumnadi na kujinadii
Kumuondoa magufuli madarakani ilianza kama impossibility, ikaenda ikawa probability, na kwa sasa ni possibility. Kufikia 28th itakua ni sure eventUkiangalia kuwepo kwa Lissu kama mgombea ni dalili za CHADEMA kukosa mgombea. Wabunge wako wapi kwenye majimbo?