Hoja gani ulitoa? Somo lipi hilo. Naomba urudie hata hoja moja hapa madhara ya kupandisha mshahara kwa watumishi laki 5 katika taifa lenye matu million 50.
BOT ipo kwa ajili ya kucheza na Monetary policy tools. Kwahyo ikiona mishahara kupanda inaleta inflation wanakamua pesa kupitia tools tofauti kma OMO. Ili kupunguza hela kwenye mzunguko. Nje ya hapo inakua haina maana ya kuwa na BOT sasa kma hawawezi forecast mabadiliko na kuchukua hatua.
Tusiingilie taaluma za watu, maana mishahara imepanda miaka mingi tu wala Lissu hatokua wa kwanza. Kwanza nmesoma tafiti ya The economist inadai Unemployment rate ikishuka haina effect kwenye inflation kinyume kabisa na Phillip's curve. Sasa basis ya mjadala wenu mnatoa wapi?
1) BOT kazi yake ni kuhakikisha kuna inflation na deflation kiasi pamoja na policies
2) Ukipandisha mishahara automatic unamuongezea purchasing power mfanyakazi, the effects will last not more than 2 years atataka kupandishwa tena kwa sababu ya nature ya pesa ilivo! Wewe ukipandishwa mshahara sasahv then tegemea rise in prices, na prices zikiraise utarudi tena kusema maisha magumu!
NB: pesa haina backup, pesa ni imani-- unaweza nunua kiatu 20K , lakini same same shoes mtu mwingine akakuuzie 18K! ndo wafanya biashara walivo
3) Median salary kwa nchi kama USA, mishahara mikubwa hua inarange kuanzia 45K mpaka 300K kwa mwaka haizidi hapa, only few people wanaenda beyond this, the reason inakua i ni kutoharibu pesa, mfano! Tanzania saaahv zile tsh 10, 20, 50 mpaka 100 znaonekana useless kwa sababu hio hio kupandisha salary!
4) Wanaoendesha pesa za nchi sio serikali ni wafanya biashara, The best way kuwawezesha watu ni kupunguza matumizi ya pesa kwa mtu mmoja mmoja, mfano kama ulikua unasafirisha ndizi kutoka moshi kwenye dar kwa buses, utalipia tusema 30K, lakini kwa treni utalipia 10K, ina maaana unabaki na 20K unaweza kutumia kwenye huduma zingine bila kuharibu uchumi!
NB: wakurupukaji ni wengi bila kufirikia outcomes, mfano lissu anaongea pumba kwenye economics and this shows wafuasi wake hawana uelewa wowote wa economics za dunia, bahati mbaya watu wengi wanamshabikia na hua tunawaona kama mapunguani
ukishindwa kuelewa tena apo, Then you are of no use kwenye economics.
another thing: BOT imechapisha pesa nyingi mpya sana sku za karibuni tegemea rise in prices, kwakua hauna elewa wa economics unaweza thani pesa kuchapishwa nyingi kuingizwa kwenye mzunguko ndo umetoka kimaisha