wagombea gani sio makini? Kabla ya kina Mnyika,Zitto na Mdee kuingia bungeni ulikua unawajua? Hvi kina Ngogo,Kitalika,Chisanga,Mwang'ombe,Mwita,Karumuna,Gwamaka n.k sio watu makini?
Anyway kuna wagombea 70 wanawake ambao 60% yao walishakua wabunge kwa hiyo wana uzoefu wa miaka 5-15 na sasa wameenda majimboni huoni kuwa ni cream yenye uzoefu kuliko wangeweka amateurs watupu?
Umakini unaupimaje? Ina maana kamati kuu ya CHADEMA haina watu wenye akili mpaka ipitishe tu for the sake? Embu tuheshimu maamuzi ya wanachama mwisho wa siku nyie acheni wananchi waamue sio mnaiba kura alafu mrudi kudai mlitabiri.
2. Then kuhusu kuongeza mshahara nadhani Lissu alijikita kwa sheria inavyosema sio matakwa yake kwahiyo kma ni kumuona hafai basi wataishangaa sheria sio Lissu. Afterall mishahara ikipanda faida sio kwa mtumishi bali kwa wale dependants na wajasiriamali maana spillover effect itawanufaisha. It seems upo mtupu kwenye uchumi alafu unajifanya mchambuzi aargh