Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Hoja gani ulitoa? Somo lipi hilo. Naomba urudie hata hoja moja hapa madhara ya kupandisha mshahara kwa watumishi laki 5 katika taifa lenye matu million 50.tulishawapa somo apa effects za kupandisha mishara ila ni kama hawaelewi, yaani wanaona lissu ni kama genius flan wakati watu wanajua kabisa effect za kupandisha mishahara! kwa kifupi tunaomba tu tupate chama kingine kitakachoendeshwa kisomi
Hoja gani ulitoa? Somo lipi hilo. Naomba urudie hata hoja moja hapa madhara ya kupandisha mshahara kwa watumishi laki 5 katika taifa lenye matu million 50.
BOT ipo kwa ajili ya kucheza na Monetary policy tools. Kwahyo ikiona mishahara kupanda inaleta inflation wanakamua pesa kupitia tools tofauti kma OMO. Ili kupunguza hela kwenye mzunguko. Nje ya hapo inakua haina maana ya kuwa na BOT sasa kma hawawezi forecast mabadiliko na kuchukua hatua.
Tusiingilie taaluma za watu, maana mishahara imepanda miaka mingi tu wala Lissu hatokua wa kwanza. Kwanza nmesoma tafiti ya The economist inadai Unemployment rate ikishuka haina effect kwenye inflation kinyume kabisa na Phillip's curve. Sasa basis ya mjadala wenu mnatoa wapi?
Hapana unakosea sana kulinganisha US na Tanzania wakati GDP per capita ni tofauti. Tanzania bado hatujafika per capita ambayo inatosheleza kiasi kwamba increment ndogo inaweza affect uchumi mzima. Mind you wenye ajira rasmi hawafiki hata 30% ya labor force ina maana disposable income unayoiona ni surplus itakua offset kwa hii 70% ambayo inategemea wenye mishahara possibly wanunue bidhaa zao na multiplier effect zingine.1) BOT kazi yake ni kuhakikisha kuna inflation na deflation kiasi pamoja na policies
2) Ukipandisha mishahara automatic unamuongezea purchasing power mfanyakazi, the effects will last not more than 2 years atataka kupandishwa tena kwa sababu ya nature ya pesa ilivo! Wewe ukipandishwa mshahara sasahv then tegemea rise in prices, na prices zikiraise utarudi tena kusema maisha magumu!
NB: pesa haina backup, pesa ni imani-- unaweza nunua kiatu 20K , lakini same same shoes mtu mwingine akakuuzie 18K! ndo wafanya biashara walivo
3) Median salary kwa nchi kama USA, mishahara mikubwa hua inarange kuanzia 45K mpaka 300K kwa mwaka haizidi hapa, only few people wanaenda beyond this, the reason inakua i ni kutoharibu pesa, mfano! Tanzania saaahv zile tsh 10, 20, 50 mpaka 100 znaonekana useless kwa sababu hio hio kupandisha salary!
4) Wanaoendesha pesa za nchi sio serikali ni wafanya biashara, The best way kuwawezesha watu ni kupunguza matumizi ya pesa kwa mtu mmoja mmoja, mfano kama ulikua unasafirisha ndizi kutoka moshi kwenye dar kwa buses, utalipia tusema 30K, lakini kwa treni utalipia 10K, ina maaana unabaki na 20K unaweza kutumia kwenye huduma zingine bila kuharibu uchumi!
NB: wakurupukaji ni wengi bila kufirikia outcomes, mfano lissu anaongea pumba kwenye economics and this shows wafuasi wake hawana uelewa wowote wa economics za dunia, bahati mbaya watu wengi wanamshabikia na hua tunawaona kama mapunguani
ukishindwa kuelewa tena apo, Then you are of no use kwenye economics.
another thing: BOT imechapisha pesa nyingi mpya sana sku za karibuni tegemea rise in prices, kwakua hauna elewa wa economics unaweza thani pesa kuchapishwa nyingi kuingizwa kwenye mzunguko ndo umetoka kimaisha
Wameenguliwa kwa kukosa vigezo, hata mikopo ya wanafunzi wote wana haki ya kuomba lakini mwisho wapo wanOengiwa kwa kukosa vigezo.Kwendeni mkaanze upya imetoka hiyoHapa ndo unaona thinking yetu watanzania ilivyo narrow.
Chadema wameeleza kinagaubaga kwamba ktk majimbo yote ya Tanzania bara walikuwa wameweka wagombea. Mwishowe baadhi yao wameenguliwa na tume kwa sababu wanazojua wenyewe.
Ningekuona kuwa mtu objective Kama ungeilamu tume kwa kuengua wagombea wa Chadema.
Kuna swala ambalo linanijia mara nyingi kichwani, hivi watanzania wanataka upinzani na hasa chadema wafanye nini ndo wajue wako serious? Wapigane, wajikate mpaka damu au wakatambike?
Just put yourself in their shoes. Nionavyo Mimi Hawa ni watu wa kuhurumiwa Sana manake kufanya siasa ktk mazingira ya Africa Ni Jambo gumu. Kuna watu wasemee na kuwapongeza manake nadhani ungelikuwa wewe ndo una vibano hivyo, ulishakufa tayari.
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa yale aliyokwishafanya. Kwa Lissu kazi ni kubwa zaidi maana uzuri wa ahadi hautoshi.
Wanasiasa wote hutoa ahadi nzuri, hata zile za Hashim Rungwe ni nzuri. tatizo ni uthibitisho kwamba utaweza timiza ahadi hizo. Kwa maana nyingine lazima uwe mwangalifu kuchagua ahadi. Kwa wanaojua uchumi ukiahidi kupandisha mishahara mara mbili kwa kiwango cha sasa, iwe ndo njia ya kuwasaidia waajiliwa, najua tu huyo ni boya!
Kila mtu tumpe nafasi ya kushinda uchaguzi je, Baada ya Lissu kushinda wabunge anao? Sioni wanaoweza kuwa ndani ya Bunge la CHADEMA, siwaoni kabisa! CHADEMA mulijisahau kutafuta watu makini kushika nafasi za ubunge. Baadhi ya majimbo yanashilkiliwa na wenzenu na hawakutaka kushindanishwa, yaani ni majimbo yao. Hata kama Lissu hatashinda, ilistahili kuwa na kundi bora la wabunge. Kwa kifupi baada ya uchaguzi huu, ikitokea Lissu ameshindwa, huo ndo mwisho wa CHADEMA.
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa yale aliyokwishafanya. Kwa Lissu kazi ni kubwa zaidi maana uzuri wa ahadi hautoshi.
Wanasiasa wote hutoa ahadi nzuri, hata zile za Hashim Rungwe ni nzuri. tatizo ni uthibitisho kwamba utaweza timiza ahadi hizo. Kwa maana nyingine lazima uwe mwangalifu kuchagua ahadi. Kwa wanaojua uchumi ukiahidi kupandisha mishahara mara mbili kwa kiwango cha sasa, iwe ndo njia ya kuwasaidia waajiliwa, najua tu huyo ni boya!
Kila mtu tumpe nafasi ya kushinda uchaguzi je, Baada ya Lissu kushinda wabunge anao? Sioni wanaoweza kuwa ndani ya Bunge la CHADEMA, siwaoni kabisa! CHADEMA mulijisahau kutafuta watu makini kushika nafasi za ubunge. Baadhi ya majimbo yanashilkiliwa na wenzenu na hawakutaka kushindanishwa, yaani ni majimbo yao. Hata kama Lissu hatashinda, ilistahili kuwa na kundi bora la wabunge. Kwa kifupi baada ya uchaguzi huu, ikitokea Lissu ameshindwa, huo ndo mwisho wa CHADEMA.
Hizi ramli mwisho wake lini?ikitokea Lissu ameshindwa, huo ndo mwisho wa CHADEMA.
Tatizo unaandika utadhani tumelaumu CHADEMA. Hapa tunaeleza hali halisi ilivyo ktk siasa za CDM. Tuna tatizo la majadiliano hapa JF kuna watu wanajibu utadhani wao ni Lissu au wao ni CHADEMA. Wanachotaka kusikia ni sifa nzuri za CHADEMA na matumaini kwamba Lissu atashinda siyo CHADEMA lakini! Maana sisikii mtu akisema CAHDEMA itashinda ila kuna wanaosema Lissu atashinda.Chadema ni NEC? badala ulalamikie NEC kwa upendeleo wa wazi unaleta mambo ya hovyo hapa
Hapo Tume ilifanya ufilauni. Na binafsi niliamini huo ndo ungekuwa mwanzo wa CHADEMA kugoma kuingia kwenye uchaguzi. Kwa nafasi za serikali za mitaa waliburuza tu lakini naamini kwa ubunge wasingeweza. Hapo ndo jamii ya kimataifa inayotafutwa na Lissu ingeingia. Lakini kilichoshangaza ni Lissu kuendelea na kampeni kwa nguvu zote utadhani hakuna kilichotokea.Wagombea ubunge 50 - 60 waliokatwa na NEC kihuni je? Uwe mkweli na mfuata haki. Tusaidie kukataa ubunge wa mezani
Vision na ufahamu tunatofautiana sana!Kumuondoa magufuli madarakani ilianza kama impossibility, ikaenda ikawa probability, na kwa sasa ni possibility. Kufikia 28th itakua ni sure event
Sent using Jamii Forums mobile app
..Na wagombea 50+ wa ubunge, na 1000+ wa udiwani, walioenguliwa na Tume wametokea wapi?
..CDM wamesimamisha wagombea ubunge na udiwani wengi kuliko wakati wowote ule ktk historia ya uchaguzi mkuu.
..hakuna chama cha siasa cha upinzani hapa Tz kilichowahi kusimamisha wagombea[ubunge + udiwani] wengi kuzidi walivyofanya CDM mwaka huu.
Wewe pisi nakutafuta kitamboVision an ufahamu tunatofautiana sana!
Unaweza kutetea hoja yako kutoa sababu kwa nini wamesimamisha idadi kubwa kuliko?
Uko sahihi mleta mada ukiwa na wabunge nchi nzima kazi yao kubwa namba moja ni kunadi mgombea uraisi maaeneo yao Lisu pesa za wafadhili anakula peke yake harushii wenzie wagombea ubunge na udiwani Mpesa Tigo rusha nk kwa wagombea ubunge ili wamnadi anataka watumie gharama zao atasubiri sana anaenda sehemu chache wenzie wote waliowahi gombea walimwaga pesa sana kwa wagombea ubunge
Safari hii hata uwezekano wa Chadema kupata wabunge mdogo sababu madiwani wanatakiwa wamwagiwe pesa na wabunge ili wawanadi maeneo yao na kumnadi mgombea uraisi Chadema wamewatelekeza Lisu anakula mwenyewe pesa za wafadhili hagawii hata chama halafu anatarajia ushindi ni ndoto safari hii Chadema wagombea uraisi ubunge na udiwani watapigwa chini na CCM sio mchezo Lisu anadhani aweza pata kura nyingi bila kumwaga pesa za wafadhii kwa wagombea ubunge na udiwani ili wapate uwezo wa kumnadi na kujinadi