Uchaguzi 2020 Tatizo lenu CHADEMA ni kuwa na mgombea Urais bila Wabunge

Lissu hata yeye anajua fika hawezishinda, ndio maana anawaanda wanyanyembe wake mapema na zengwe la kuibiwa kura iwe ndo sababu ya msingi yeye kushindwa.
AKILI YAKO HAINA AKILI! WENYE CCM WANAJUA WANASHINDWA, WEWE HUWEZI KUJUA KINACHOENDELEA!
 
Mbowe mchumia tumbo tu, kile chama chake hakina mtu wa kuaminika na watanzania. Watu wanaogopa kuuzwa Ubelgiji na ujerumani. Ruzuku bye bye, michango ya wabunge bye bye, vitu maalum bye bye.
 
CHADEMA siyo mgombea ni mdhamini
 
Rais Lissu amesema hakuna demokrasia ya kupita bila kupingwa hivyo tusubiri uchaguzi utafanyika tuu katika majimbo hayo Yakima Majaliwa.
Ni swala LA mswaada wa dharura tuu
Hahahahaha ila kuna watu huwa mnajipa matumaini to the extent kwamba mnaweza kuja kushindwa kufesi reality baada ya matokeo. Eti Rais Lissu. Alooo
 
Naona huu ndo mtindo wa siku hizi, kuamini kila kitu ni zaidi ya wengine. Trump naye lugha yake ni hiyohiyo! Kila kitu US imewazidi wengine duniani pamoja na kuangamia kwa Corona kuliko wengine duniani.
 
Good analysis
 
Umeandika nini sasa? Pole pole anayo kazi mwka huu, Lissu atatangazwa kuwa rais na wabunge wa kutosha kuunda serikali na kulithibiti bunge.
 
Ni kweli boss, Kufanya siasa ktk mazingira ya Afrika ni jambo gumu. Ni sahihi pia kusema kilimo ktk mazingira ya Afrika ni jambo gumu! Muhimu kila mtu pale alipo ajitahidi kutanzua matatizo yanayomrudisha nyuma. Wanasiasa hawalazimiki kufanya siasa lakini mambo yanapokuwa magumu wanatulilia . Mkulima analazimika kulima ili familia ipate uhai. anapopata matatizo anajitafutia mbinu nyingine hata jukwaani hasemi lolote!
 
Ukisikia kampeni za CDM wabunge hawasikiki kama wako ktk kampeni. Ukiwauliza watakwambia vyombo vya habari bhla! bhla! lakini ukweli uwezo wa kampeni ni mdogo! Waliokuwa wabunge nao wanabana posho yao ya mwisho kwa lengo la maisha, nao wako low-key. Anayesikika ni Lissu. Anapoondoka tu anatoweka na kumbukumbu yake inafutika.

Sasa hivi alikoanzia hawakumbuki maneno yake maana CCM wameshapita tena. Atapita mama Samia, atapita Majaliwa, Na bado wilayani na mkoani wapo wenyeviti ambao ushindi wa chama ndo huwa mtaji wao. Kwa hawa CDM ushindi na ruzuku huwa ni ya makao makuu. They are gone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…