Shukrani mkuu tatizo lilikuwa RAM. Inachagua sana maana nimetest zaidi ya 10 ikaja kukubali moja tumkuu kama ni hivyo kwa ushauri jaribu kubadilisha kifaa kimoja kimoja kwenda kwenye pc nyingne maana inavyoonekana sijajua hasa ni kilichosumbua kwenye pc yako kama ram nzima, na display yako aina matatizo, jaribu njia hiyo japo ni ngumu kidogo lakini ndio itakupa uhakika kipi ni kizima na kipi ni kibovu kama utaweza
Inapoishia 1% uwa inaendelea kuwaka au inazima baada ya muda flan?Nisaidie msada PC yangu inaonesha indicator kuwa chaaji inaingia lkn haipeleki aslimia yan kaam ni moja bhas ni hyo hyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Apn nimechek labda kama kuna settings mpya ambazo sizijuiUmechek na APN mkuu?
Pirate
Mimi Pc yangu windows nimebadilisha mara ya mwisho 2014. Ila kwa sasa ipo slow nilimpa jamaa anibadilishie windows anasema imegoma.
Je ni kwamba imechoka au kuna utaalam mwingine naweza tumia kubadilisha windows?
Kwani Pc yangu ni Toshiba S-series C850 na ina miaka mitano na windows nimebadilisha mara mbili.
ninatatizo la kutoa virus katika kompyuta na flash zangu nimeweka kapersky antivirus na pia niliinstall upya windows seven lakini bado naona kuna virus vinavyosababisha flash mpya kutoweza kutumika maana nikisave kitu katika flash hakifunguki au kinaharibika naomba ushauri nifanyeje nisafishe kompyuta na flash zangu.Nimetumia pia kapersky virus removal tool lakini sijafanikiwa
Computer yangu inaitwa pack hardbell
Inatatizo la kufa battery cjui ntapata wapi spare yake nimetafuta sana APA bongo cjapata...
Msaada wenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Lenovo - thinkpad , window 10. Haitoi sauti imeweka alama × nikiplay audio au video files. Msaada.Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Lenovo - thinkpad , window 10. Haitoi sauti imeweka alama × nikiplay audio au video files. Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sound drivers zipo vizuri.cheki driver kama kama ipo kama aipo download mkuu ,