Tatizo lolote la PC/device

Nashukuru nitajaribu kufuata maelekezo yako mkuu kama nikikwama nitarudi kuomba msaada tena.
 
Sound drivers zipo vizuri.
Kwahiyo niweke adobe mkuu? Kweli sijadownload hiyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

hapana usiweke adobe kama ni tatizo la saut,

kama driver ipo basi fanya hivi right click hiyo icon ya sauti, kisha chagua option ya pili imeandikwa playback devices then chagua speakers kama ukikuta aijaweka tick basi right click sehemu ya speakers kisha kwa chini hapo click iwe SET DEFAULT. kisha itarudi vizur kama tatizo ni ilo hapo
 
Ahsante mkuu, ngoja nitest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pirate, nina PC HP 6530b, tatizo ni keyboard hasa alama za uandishi kama vile " ? ! : ' ; = na nyingine zote hazipo mahala pake. Mfano unabonyeza alama ya ulizo inakuletea jumlisha. Tafadhali msaada please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pirate, nina PC HP 6530b, tatizo ni keyboard hasa alama za uandishi kama vile " ? ! : ' ; = na nyingine zote hazipo mahala pake. Mfano unabonyeza alama ya ulizo inakuletea jumlisha. Tafadhali msaada please.

Sent using Jamii Forums mobile app

ilishawahi kunitokea mm pia kuna laptop nilikuwa natumia pia kipindi fulani hiv, but chakufanya ambacho mm pia nilifanya, kama unavyosema ukitaka kubonyeza kiulizo inatokea jumlisha basi kwenye jumlisha ndio kiulizo kinapokuwepo, na ndio hivyo na herufi au alama nyingine kama ukitaka ubonyeze "/" ikatokea "\" ujue kwenye hiyo ya "\" ndipo ilipo"/", ni ngumu kidogo kuielewa. kusababishwa kwa hili labda;

##wakati baada ya kufanya format window7 kuna sehemu ya kuchagua keyboard format hapa wengi uwacha default configuration zilizokuja na windows wanazoziweka ila wengine uwa wanajaribu kubadilisha na kuchagua nyingne kwa mfano kwenye region and language. basi kwa ushauri jarbu kaweke iwe us english, ambayo kwenye keyboard pia inakuja itakuwa hivyo, kuipata jinsi ya kubadili ni hivi (windows ) start>control panel>regional and language>keyboard and languages>change keyboard jaribu kuweka us -english united states

## kama umenunua second hand pc basi wameforce keyboard ambayo sio yake ndio maana inakuletea hivyo kwaiyo itabidi uizoee
 
Asante kwa kuleta huu uzi tatizo langu nimeshindwa kudownload application ya itv na sababu wanayonipa ni kwamba email yangu haiko access na Google play store.nilitumia Firefox naomba msaada wa mawazo
 
Habari jamani,, laptop yangu ni dell, niliiwasha ikawa inafanya updating baada ya muda ikafail kuupdate nikaamua kuuzima tena ili niiwashe upya baada ya hapo ikawa inawaka lakin haimalizii kuwaka inaishia kuandika dell alafu inabaki na mwanga na kudisplay screen nyeusi, na inacheza alama flan kama (-) upande wa kushoto juu, sijui nini tatizo, naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu, nilinunua second hand, kuweka hiyo option ya US nilishafanya sana lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kuleta huu uzi tatizo langu nimeshindwa kudownload application ya itv na sababu wanayonipa ni kwamba email yangu haiko access na Google play store.nilitumia Firefox naomba msaada wa mawazo

google playstore inataka google accounts kwaiyo kama unatumia kampuni nyingne basi itakupa shida na itataka lazima uwe na account yao, unapofungua google account inakupa access ya kila kitu kama youtube,playstore,news,gmail,google+,hangouts na vingine ving, kwaiyo sijajua umetumia email gan ambayo inakugomea kuwa connected na playstore
 

unaweza kuaingia SAFE MODE?
 
Mkuu kuna mtu ana iPhone6 anahitaji kutoa lock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…