Tatizo lolote la PC/device

Habari pc yangu ina sehemu ya kuweka flash moj tu je ni kifaa gani na kinauzwa sh ngapi naweza kuwa naweka na kikanisaidia kuchomeka flash zaid ya moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pc dell core i7 niki charge ina sema not charging kwenye display icon ya battery chini pale,ila si mara zote ni mda na mda ndo inafanya hivyo.
NB:imeshawahi kufa Pc system charge ikatengenezwa na kupona, mda umepita sasa ndo inaleta hio mizengwe ya 'not charging'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hiyo charging system, kabadilishe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As me
 
mkuu sijakuelewa vizur aisee em jaribu kuliweka kiurefu zaidi kidogo
Niko na PC yangu inashida ya kuzima yenyewe tu pale ninapo tumia you tube kwa mfano nikitumia kama masaa mawili hivi inazima
 
Niko na PC yangu inashida ya kuzima yenyewe tu pale ninapo tumia you tube kwa mfano nikitumia kama masaa mawili hivi inazima
Kwaiyo ukitumia matumizi mengine aizimi hata kidogo??

Pirate
 
mimi pc yangu ni toshiba imepasuka screen naomba kufahamu bei za screen zina range kwenye sh ngapi? ili nikienda dukani iwe rahisi nipo mwanza kama nitaelekezwa na sehemu yenye mafundi wazuri na waaminifu pia nitashukuru sana.
 
naomba msaaada jinsi ya kudownload window 10
 
mkuu,, mimi simu yangu samsung note 3 ukipiga inaandika not registered network ila ina ingia internet kama kawaida ila calls&sms hazikubali pia ikiwa kawaida inaandika emergence calls only. msaada bro
 
Wakuu computer yangu imekata souti nimepiga window xp imekubali ila sijaipenda vision yake nimepiga window 7 imekata tena nimepewa driver sound zinagoma ku install

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…