Tatizo lolote la PC/device

wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
 
wakuu naomba msaada PC yang inaandika grand theft auto vc cannot find enough available video memory nikitaka kucheza GTA tatizo nini msaada
Video card yako ina uwezo mdogo kulinganisha na mahitaji ya game unayotaka kucheza kwenye PC.
 
Kioo yaani display ya acer minlaptop bei gani na nqpata wapi
 
PC yangu niliiangusha sasa hivi nikiiwasha inastart wakati inaload ili iwake kabisa inastuck haindelei ili iwake kabisa inabaki na black screen lakini nikiizima halafu niiwashe tena ndo inakubali kuwaka vizuri, sasa tatizo inaweza ikawa nini na solution yake ni nini?
 
Same problem kaka nimeomba msaada wiki sasa but haujapatikana
Tatizo hilo sometimes linatokana na button ya brightness kujipress moja kwa moja has a kwa lenovo za kisasa je PC yako in aina gani
 
Litakaa tu ila uwe updated kwenye upande wa drivers ila linaweza kuwa slow than normal speed
 
fundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
Pm kama uko dar na unaweza fika kkoo
 
Ja
Jaribu external monitor alafu rudi jukwaani
 
D
Driver packs nyingi ni outdated na zitakusumbua jaribu kuupdate window yako driver zitaingia zenyewe
 
Yaweza kuwa short ya motherboard
 
Ni juzi tu nimeizima laptop yangu na ilikuwa inafanya kazi vizuri, kesho yake najaribu kuiwasha ikagoma kuwaka. Nikadhan labda chaji imekwisha nikawa nimeunganisha adapter haikuwaka pia ingawa ilionesha chaji inaingia. Baadaye nikatoa betri na kulirudisha haikuwaka tena wala haikuoneaha alama ya kuwa inaingiza chaji..
Tatizo linaweza kuwa nini?
Naombeni msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…