Toa betri toa na adapter Fanya kama unawasha ikiwa haina hivyo vyote shikilia hiyo button bila kuiachia kwa sekunde 30 au zaidi kisha weka adapter bila betri ikiwaka weka betri lakoNi juzi tu nimeizima laptop yangu na ilikuwa inafanya kazi vizuri, kesho yake najaribu kuiwasha ikagoma kuwaka. Nikadhan labda chaji imekwisha nikawa nimeunganisha adapter haikuwaka pia ingawa ilionesha chaji inaingia. Baadaye nikatoa betri na kulirudisha haikuwaka tena wala haikuoneaha alama ya kuwa inaingiza chaji..
Tatizo linaweza kuwa nini?
Naombeni msaada
PC yangu ..duh .Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Mkuu tafafadhali weka maelezo yote iwe rahisi tuelewePC yangu ..duh .
1. Inakonyeza konyeza
2.Baadhi ya Button ni Function less.
Sijui nifanyaje ..
je setup yake unayo
Kama unaweza download kwenye torrents lakini use na bundle LA kutosha na experience ya kudownload huko waweza pia luomba kwa mtu ukishindwa kabisa piga 0752367766 ntakupa free tu ila itakubidi ulifuate mpaka kariakoo ukiwa na flash yakoSina
Ubarikiwe mkuu ntakutafutaKama unaweza download kwenye torrents lakini use na bundle LA kutosha na experience ya kudownload huko waweza pia luomba kwa mtu ukishindwa kabisa piga 0752367766 ntakupa free tu ila itakubidi ulifuate mpaka kariakoo ukiwa na flash yako
Mm nashida na adobe master collection, window 7 na vista. Utanichaji ngapi au ni free?Kama unaweza download kwenye torrents lakini use na bundle LA kutosha na experience ya kudownload huko waweza pia luomba kwa mtu ukishindwa kabisa piga 0752367766 ntakupa free tu ila itakubidi ulifuate mpaka kariakoo ukiwa na flash yako
check pmMm nashida na adobe master collection, window 7 na vista. Utanichaji ngapi au ni free?
Jaribu DC-unlocker. Ukifanikiwa tujulishe.Hbr zenu wanajukwaa... kama nilvyoainisha hapo juu... msaada unajitaji... tupeane maujuzi.
Nilikuwa natumia computer yangu vzr gafla uumeme ukakatika uliporudi nilipoiwasha inawaka kama sekunde 5 hivi alafu inazima na kuwaka tena lakini haionyeshi chochote ,ni HP desktop zile za kitambo kidogoHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Upo mkoa gani? Km ni Pwani (Bagamoyo) subiri mpaka kesho umeme uwe na nguvu. Umeme ukirudi km kawaida utajua km kuna tatizo au la. Hizo Desktop zinatumia umeme wa moja kwa moja km tv.Nilikuwa natumia computer yangu vzr gafla uumeme ukakatika uliporudi nilipoiwasha inawaka kama sekunde 5 hivi alafu inazima na kuwaka tena lakini haionyeshi chochote ,ni HP desktop zile za kitambo kidogo
Npo dar ndgUpo mkoa gani? Km ni Pwani (Bagamoyo) subiri mpaka kesho umeme uwe na nguvu. Umeme ukirudi km kawaida utajua km kuna tatizo au la. Hizo Desktop zinatumia umeme wa moja kwa moja km tv.
Sawa. Jaribu kuiwasha pc yako maana jana umeme ulikuwa hauna nguvu nafikiri na Dar kulikuwa hivyo.Npo dar ndg
Nashukuru ndg kwa ushauri,lkn nimejaribu kuwasha naona tatizo bado ni lilelileSawa. Jaribu kuiwasha pc yako maana jana umeme ulikuwa hauna nguvu nafikiri na Dar kulikuwa hivyo.
Tv, radio, deki na sabufa vinawaka? Maana hapa nilipo umeme bado ni mdogo.Nashukuru ndg kwa ushauri,lkn nimejaribu kuwasha naona tatizo bado ni lilelile
Tv na dek radio vyote vinafanya kazi tuTv, radio, deki na sabufa vinawaka? Maana hapa nilipo umeme bado ni mdogo.