Toa betri toa na adapter Fanya kama unawasha ikiwa haina hivyo vyote shikilia hiyo button bila kuiachia kwa sekunde 30 au zaidi kisha weka adapter bila betri ikiwaka weka betri lakoNi juzi tu nimeizima laptop yangu na ilikuwa inafanya kazi vizuri, kesho yake najaribu kuiwasha ikagoma kuwaka. Nikadhan labda chaji imekwisha nikawa nimeunganisha adapter haikuwaka pia ingawa ilionesha chaji inaingia. Baadaye nikatoa betri na kulirudisha haikuwaka tena wala haikuoneaha alama ya kuwa inaingiza chaji..
Tatizo linaweza kuwa nini?
Naombeni msaada