Tatizo lolote la PC/device

Nimekuelewa Vyema Mkuu Ngoja Nifanye Kama Ulivyoelekeza Kisha Nitaleta Mrejesho
 
Niko Dar es salaam mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi yangu lenovo G580 ilinisumbua hivyo hivyo kwa muda mrefu lakini yenyewe ilikuwa inawaka na inapiga kazi lkn kuna muda inapata moto inascratch then inazima..nikaamua zangu kuagizia motherboard mtandaoni juzi ilikuja nimebadilisha now inapiga kazi bila shida!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PC yangu n aina ya Fujitsu FMV-718NU4 ya kichina China hv tatzo lake n kama hvo kwny picha ila sahv imezima display haionyesh kitu ila feni imaunguruma sana tu naomben msaada tatzo lnaezakua nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laptop yangu feni inapiga kelele ukisha iwasha tu lakini haichemki shida inaweza kuwa nn?
 
Salaam wakuu, mie shida yangu ni kuactivate microsoft office 2010 katika pc yangu. Sina product keys. Msaada tafadhali.
 
Habari za humu wakuu.... Ninahitaji housing ya Lenovo G50!

"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 
ninataka local disc C na D niziwekee password ,msaada jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…