Au pia unaweza kutumia KMS Auto net kuanzia v1. 4 ni nzur kwa windows mpya itakusaidia pia maelekezo yake ni marahis tu kuyaelewa,Habari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawaka pasipo kuonesha chochote zaidi ya icons kutoa mwanga pale kwenye keyboard. Ni dell.Inawakaje mkuu em elezea vizur kidogo
Pirate
Thanks mkuuProximity sensor kwa lugha rahis ni kifaa ambacho kinaweza detect (kwa kiswahili chepes ni KUHISI/KUGUNDUA) Kifaa kingine bila kukutana (physical interaction),
Pia sio lazima kwa kifaa ambacho kinaweza ku-detect kuwa na hiyo PROXIMITY SENSOR, kinaweza kufanya lolote kutokana na maelekezo yaliyokuwa yamewekwa kufanya baada ya hiyo kukutana. MFANO mdogo wa proximity sensor, ni kwa mfano unavyopekea na unapoiweka simu sikion kioo cha simu kama kinakuwa black hivi sasa pale icho kifaa kimewekwa juu baada ya display kioo ndio maana hata ukiweka kidole juu tu pale kwenye sensor tu kama inakuwa inazima hiv.
Pia iyo proximity sensor inafungwa kwenye vifaa vingi sana
NB:that's for what I know, maybe read more online for more informations
Pirate
Ushawah kijalibisha charger nyingine?hiyo windows 10 nilishajaribu kubadili adapter lakini tatizo liko pale pale, hata kufanya reset ya windows ila bado imegoma kuchaji, pia zile tutorial za youtube nishafanya ila hollaa..
Mkuu pirate nifanyeje?
Kuna siku nilitoa betri nikaichomeka ghafla ikachaji kama sekunde mbili kisha ikasimama tena. Msaada hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sound icon kwenye taskbar imeweka alama ya x?Bhana naomba unisaidie pc yangu aina ya Dell inazingua sauti kutoka wamenibadilishia windo umekua shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukatuma screenshot ili tujue wapi pakuanziaAsante; PC yangu inawaka lakini haioneshi chochote.Nifanyeje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo betri uliwahi kulijaribishia kweny pc nyingne tofauti na hiyo??
Sijapata pc inayotoshana na betri yanguHilo betri uliwahi kulijaribishia kweny pc nyingne tofauti na hiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe unaweza kunambia tatizo lilianzajeInawaka pasipo kuonesha chochote zaidi ya icons kutoa mwanga pale kwenye keyboard. Ni dell.
Sent using Jamii Forums mobile app
nasubiria msaada mkuuHabari me kuna kitu kwenye simu yangu samsung A8 huwa sielewi. nikizima data 3G au 4G signal zinabaki na tena kinachonishangaza ni pale zinapokuwa zinapanda na kushuka (3g ....H+) wakat muda huo data iko off. msaada jaman nifanyeje ili iwe kawaida ila mda huo ambao nakuwa nimezima data huwezi kuperuzi kwenye page coz itakwambia hujawasha data.
Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,Habari me kuna kitu kwenye simu yangu samsung A8 huwa sielewi. nikizima data 3G au 4G signal zinabaki na tena kinachonishangaza ni pale zinapokuwa zinapanda na kushuka (3g ....H+) wakat muda huo data iko off. msaada jaman nifanyeje ili iwe kawaida ila mda huo ambao nakuwa nimezima data huwezi kuperuzi kwenye page coz itakwambia hujawasha data.
asante ngoja nijaribu.Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,
Kwaiyo labda unaweza ukajarbu hivyo au search another solution if still continue
NB# fanya backup endapo utafanya restore
Pirate
tnx kaka ila pia nilikuwa naomba nijuzwe jinsi ya kubadili android version kutoka kwenye 5.1. kwenda 6...Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,
Kwaiyo labda unaweza ukajarbu hivyo au search another solution if still continue
NB# fanya backup endapo utafanya restore
Pirate
Tumia KMS Auto net. 2015 ina-activate vizur na ni rahis sana kufanya hivyo search online utaipata freemimi office ina niambia ni activate......