Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Habari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au pia unaweza kutumia KMS Auto net kuanzia v1. 4 ni nzur kwa windows mpya itakusaidia pia maelekezo yake ni marahis tu kuyaelewa,

Pia lazima uwe na NET. Framework 4,5 na zaidi hii uki-search online utaipata pia ni rahis kuiweka kwenye system yako

Hopefully it'll help you out

Pirate
 
Proximity sensor kwa lugha rahis ni kifaa ambacho kinaweza detect (kwa kiswahili chepes ni KUHISI/KUGUNDUA) Kifaa kingine bila kukutana (physical interaction),

Pia sio lazima kwa kifaa ambacho kinaweza ku-detect kuwa na hiyo PROXIMITY SENSOR, kinaweza kufanya lolote kutokana na maelekezo yaliyokuwa yamewekwa kufanya baada ya hiyo kukutana. MFANO mdogo wa proximity sensor, ni kwa mfano unavyopekea na unapoiweka simu sikion kioo cha simu kama kinakuwa black hivi sasa pale icho kifaa kimewekwa juu baada ya display kioo ndio maana hata ukiweka kidole juu tu pale kwenye sensor tu kama inakuwa inazima hiv.

Pia iyo proximity sensor inafungwa kwenye vifaa vingi sana

NB:that's for what I know, maybe read more online for more informations

Pirate
Thanks mkuu
 
6eb11e16dec9f3d00d74d865e5cf3bf3.jpg
hiyo windows 10 nilishajaribu kubadili adapter lakini tatizo liko pale pale, hata kufanya reset ya windows ila bado imegoma kuchaji, pia zile tutorial za youtube nishafanya ila hollaa..
Mkuu pirate nifanyeje?
Kuna siku nilitoa betri nikaichomeka ghafla ikachaji kama sekunde mbili kisha ikasimama tena. Msaada hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawah kijalibisha charger nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari me kuna kitu kwenye simu yangu samsung A8 huwa sielewi. nikizima data 3G au 4G signal zinabaki na tena kinachonishangaza ni pale zinapokuwa zinapanda na kushuka (3g ....H+) wakat muda huo data iko off. msaada jaman nifanyeje ili iwe kawaida ila mda huo ambao nakuwa nimezima data huwezi kuperuzi kwenye page coz itakwambia hujawasha data.
 
nasubiria msaada mkuu
 
Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,
Kwaiyo labda unaweza ukajarbu hivyo au search another solution if still continue

NB# fanya backup endapo utafanya restore

Pirate
 
Asante mkuu kwa kuanisha uzi maalum kwa kutatua changamoto kuhusu PC.

Binafsi jana nilipishana na hela kwa ishu ambayo inahusu ku-convert video file zipo MP4 kwenda MPEG4.

Flash ndio imebeba videos halafu zicheze kwenye device siikumbuki vizuri ila ina uwezo wa kucheza DVD na cd plus usb

Nahisi kama inaweza kurejea hii case. Msaada tafadhali japo katika kujibiidisha nimepata FORMAT FACTORY... Kila nikiconvert naishi 3gp na GIF ila hazikucheza kwenye ile device.
 
Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,
Kwaiyo labda unaweza ukajarbu hivyo au search another solution if still continue

NB# fanya backup endapo utafanya restore

Pirate
asante ngoja nijaribu.
pia kama nataka kubadili
Shortly inawzekana ikawa software problems, sometimes mi pia ilikuwa inanitokea kwenye Sony experia m2 kipind flan hiv but solutions nilioifanya kwa haraka ni ku-restore settings,
Kwaiyo labda unaweza ukajarbu hivyo au search another solution if still continue

NB# fanya backup endapo utafanya restore

Pirate
tnx kaka ila pia nilikuwa naomba nijuzwe jinsi ya kubadili android version kutoka kwenye 5.1. kwenda 6...
 
mimi office ina niambia ni activate......
Tumia KMS Auto net. 2015 ina-activate vizur na ni rahis sana kufanya hivyo search online utaipata free

But lazima uwe na NET framework 4,5 ipo kupitia official Microsoft website

Hopefully it'll help you out

Pirate
 
Back
Top Bottom