pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 718
- 703
- Thread starter
- #101
Au pia unaweza kutumia KMS Auto net kuanzia v1. 4 ni nzur kwa windows mpya itakusaidia pia maelekezo yake ni marahis tu kuyaelewa,Habari wakuu nna PC Lenovo
Natumia window 7
Ila sasa inaniandikia
The copy of window is not genuine
Msaada kwenu wakuu, nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia lazima uwe na NET. Framework 4,5 na zaidi hii uki-search online utaipata pia ni rahis kuiweka kwenye system yako
Hopefully it'll help you out
Pirate