pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 718
- 703
- Thread starter
- #121
Kama ni converter ya video jarbu kuitafuta any video converter (AVC) search online utaipata ni nyepes sana kutumiaAsante mkuu kwa kuanisha uzi maalum kwa kutatua changamoto kuhusu PC.
Binafsi jana nilipishana na hela kwa ishu ambayo inahusu ku-convert video file zipo MP4 kwenda MPEG4.
Flash ndio imebeba videos halafu zicheze kwenye device siikumbuki vizuri ila ina uwezo wa kucheza DVD na cd plus usb
Nahisi kama inaweza kurejea hii case. Msaada tafadhali japo katika kujibiidisha nimepata FORMAT FACTORY... Kila nikiconvert naishi 3gp na GIF ila hazikucheza kwenye ile device.
# ni paid software so jarbu kuitafuta ambayo ipo activated already mkuu
Pirate