Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Asante mkuu kwa kuanisha uzi maalum kwa kutatua changamoto kuhusu PC.

Binafsi jana nilipishana na hela kwa ishu ambayo inahusu ku-convert video file zipo MP4 kwenda MPEG4.

Flash ndio imebeba videos halafu zicheze kwenye device siikumbuki vizuri ila ina uwezo wa kucheza DVD na cd plus usb

Nahisi kama inaweza kurejea hii case. Msaada tafadhali japo katika kujibiidisha nimepata FORMAT FACTORY... Kila nikiconvert naishi 3gp na GIF ila hazikucheza kwenye ile device.
Kama ni converter ya video jarbu kuitafuta any video converter (AVC) search online utaipata ni nyepes sana kutumia

# ni paid software so jarbu kuitafuta ambayo ipo activated already mkuu

Pirate
 
Mkuu pirate

Micro office yangu imegoma kuiactivate,kila nikijaribu inanipa options ya kuchange product keys,msaada wako plz
Shukrani

jw library
 
Kama ni converter ya video jarbu kuitafuta any video converter (AVC) search online utaipata ni nyepes sana kutumia

# ni paid software so jarbu kuitafuta ambayo ipo activated already mkuu

Pirate

ngoja niitafute. ila kuwa paid inaweza kuwa mtihani kufanikisha deal mapema. thanks
 
ngoja niitafute. ila kuwa paid inaweza kuwa mtihani kufanikisha deal mapema. thanks
Ingia Google tafuta ambayo ishakuwa activated/cracked zipo nying uki-search usikate tamaa

Pirate
 
Desktop PC, dell. Haisomi hard disc....haiwaki kabisa, hapo shida itakua ni nini? Nimejaribu kutoa hard disc na kuzirudisha tena...lakini hakuna majibu sahihi. Hebu saidia
 
Aah! afadhali
Mwenzenu naomba mnijuze....je kuna deki yenye uwezo wa kutumia external hard drive?
na inaitwaje. Plz!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda jarbu zile originally DVD player devices, pia nasikia baadhi ya TV Zina play ukiconect tu zinaonyesha list ya file zako zote but pia aziplay kila kitu ni only media files

Pirate
 
PC yangu haiwaki tena ilianza hivi

155511a741738f8d4ddd8940e62e602a.jpg

Then

5f11468675e8281e094ea3e58076b97a.jpg

333bfc83d5906dfa915821aa8dbf0cd8.jpg

fc6e7c3a0a82ba549df1aaf0ce526f02.jpg

Kwa sasa nikiiwasha vile vitaa vinawaka na feni nasikia inazunguka lakini kioo hakioneshi chochote.

80e6d8e8f3ae66e9a097327c03d0bb55.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi matatizo ya PC yako yanafanana na sisi hapa home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada tutani..
Nina Laptop yangu Dell N series.
Ukiiwasha na ku click au hata kuselect icon yoyote kwenye desktop au hata kwenye folder tu inaleta ile msg km nataka ni idelete.(are you sure you want to send this folder to recycle bin?.na italeta huo ujumbe zaidi ya mara 100 as if nimehold ile button ya delete. nimejaribu hata kuchomoa ile button ya delete ila bado tatizo linaendelea.. msaada hapo wakuu..
 
Hp workstation xw4600 ukiiwasha inakuletea smart card authentification smart card not present nimeangaika kureset cmos button,pia nimeremove cmos battery kwa ajili ya kureset bios lakini bado tatizo liko palepale mwenye solution plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Desktop PC, dell. Haisomi hard disc....haiwaki kabisa, hapo shida itakua ni nini? Nimejaribu kutoa hard disc na kuzirudisha tena...lakini hakuna majibu sahihi. Hebu saidia
Yani tatizo no hard disk aisom au au pc aiwak mkuu em jarbu kueleza vizur

Pirate
 
Msaada tutani..
Nina Laptop yangu Dell N series.
Ukiiwasha na ku click au hata kuselect icon yoyote kwenye desktop au hata kwenye folder tu inaleta ile msg km nataka ni idelete.(are you sure you want to send this folder to recycle bin?.na italeta huo ujumbe zaidi ya mara 100 as if nimehold ile button ya delete. nimejaribu hata kuchomoa ile button ya delete ila bado tatizo linaendelea.. msaada hapo wakuu..
Yani una click tu Kisha inakuletea iyo notification au uki-right click ndio Inakupa iyo notification??

Pirate
 
Back
Top Bottom