SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Ingia BIOS setting udisable 3.0 USB au weka AUTO mambo yatakuwa poaSame problem na kwangu, sema mi flash inasoma ila ukichomeka phone ili kuhamisha data inachaji tu ...window 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia BIOS setting udisable 3.0 USB au weka AUTO mambo yatakuwa poaSame problem na kwangu, sema mi flash inasoma ila ukichomeka phone ili kuhamisha data inachaji tu ...window 8
Badili Backlight CCFL inverter itakuwa imekufaPC yng ni lenovo, taa imezma kuangalia mpk nimulike KWA tochi. Ht nipandshe mwanga haionyeshi sijui tatizo ni nini
Hata mimi ina iyo tatizo natumia window 8.1Same problem na kwangu, sema mi flash inasoma ila ukichomeka phone ili kuhamisha data inachaji tu ...window 8
BIOS Setting inapatikana wapiIngia BIOS setting udisable 3.0 USB au weka AUTO mambo yatakuwa poa
JAMANI MSAADA NANI ANAJUA KUTOA VIRUSI FLAN WANA CHANGE PROGRAM ZOTE ZINAKUA ZERO BYTE? WANANISUMBUA SANA MANA WANAKULA PROGRAM ZOTE ZILIZOPO KWENYE COMPUTER!!!Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Inacost kiasi gn kubadiliBadili Backlight CCFL inverter itakuwa imekufa View attachment 907671View attachment 907671
Delete hiyo account uweke yakoTecno K9 ilifanyiwa reset sasa kila nikitaka kuiwasha inadai google acc ile ya mwanzo na hii simu ilinunuliwa mkono kwa mtu so alikuwa akitumia google acc ya jamaa aliyemuuzia.
Mnanisaidiaje hapa?
Pc yangu adaptor inawaka ila ukichomeka kwenye pc inazima kwa maana kwamba haiingizi chaji. Tatizo nnna.Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Natumia HUAWEI Y5II(2017), haifungui picha au attachment zinazotumwa jamii forum natakiwa kuwa na application gani?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Asante kiongoziTatizo kubwa ni huwa shoti, tafuta Fundi mzur akurekebishie kutoa shoti
HiHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Hi
Pc ina usb port 3
Hp pavilion 15
Port moja haifanyi
Kazi
All drivers zake ziko poa
Solution yake hapo nini?
Kuna uwezekano wa kubadili port?