Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Ni sahihi...Watusi sio wabantu bali ni wakush
Wakush ni wasomalia, oromo, ahmara, tigre na tingranya
Watutsi na hizo jamii zote ulizotaja, na nyingine zipo Tanzania, Kenya na Nchi nyingine kama Maasai n.k hizo ndo zinaitwa Nilotic.