Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima walijipachika kwa hila au kwa kumwaga damu kua watawala juu ya makabila ya mbari za kibantu.
Kabla ya uhuru wa nchi zetu wamegombea kwa nguvu nyingi kuwa watawala wa nchi zetu. Rwanda Burundi na Uganda tumeona hao wenye asili ya Hima kusababisha mauaji mengi wakigombea uongozi. Tatizo ni ndani ya damu yao. Kama sio wao wanaongoza basi utawala ni mbaya. Yeyote asiyekubaliana nao kwao ni mjinga na mpumbavu. Yaani wao ndio wanajua wengine hawajui kitu.
Hapo Kagame alipo haoni upungufu wowote kwamba asilimia zaidi ya 85 raia wabantu nchini kwake wanaishi kwa hofu na hawawezi kugombea uongozi wa juu nchini kwao. Jeshi la nchi hiyo hakuna wabantu kama wapo ni wachache sana. Makomanda wakubwa wote ni mbari ya kitutsi.
Ukienda Uganda Museveni wa jamii ya kinyankole wenye asili ya hima hakuiacha uganda salama hadi amekua yeye kiongozi wa uganda. Akisaidiwa na jamaa zake wa kitutsi kina kagame waliyokua wakimbizi Uganda kivita kisha yeye akawalipa kwa kuwasaidia kumwangusha Habyarimana wa mbari ya kibantu.
Huko Burundi ilibidi kuwepo umwagaji damu mkubwa kabla ya wabantu walio wengi kuweza kuchukua madaraka ya kisiasa.
Ili kuwepo na amani Rwanda ambayo imekua siku zote inadai kuwepo wapinzani wake Congo inabidi nchi hiyo ianze yenyewe kufanya mazungumzo wapinzani wake ikibidi kuwepo na katiba kama ile ya Burundi kuhakikisha mbari zote zinakua na sauti kisiasa.
Ili kuwepo amani ya kudumu inabidi ndugu zetu wa kihima kuacha kua na njozi ya kihistoria kwamba wao ni watawala. Inaelekea kwenye maisha yao ni njama na hila dhidi ya mbari zingine tu waweze kutawala nchi wao.
Unajua waliokutana mjini Berlin 1884 kuigawa Africa?
Binadamu lazima ujipambanie, mababu zake Trump, walichokifanya miaka zaidi ya 200 iliyopita, kinawapa wajukuu zao faida mpaka Leo,
Unaelewa maana ya Bahima/muhima? Hiyo ni koo, Sana Sana za, wafugaji, enzi hizo, walikuwa hawali samaki, wao, ni, nyama tu, walijiona superior, walidharau watu wanaokula samaki, kwa kunuka shombo, waliamini ukistaarabika, unakula nyama, sio samaki na mishombo, koo za Bahima zipo kagera, wapo wahaya ambao ni bahima,Museveni, mnyankore, na wenyeji wa ngara, kyelwa,murongo ni jamii moja,
Kujiona superior kama walivyo wahaya it's a inborn thing, ipo kwenye DNA, wanapenda kutawala,lakini hizi, story kuwa bahima empire wanataka kutawala East Africa nzima, ni conspiracy theory za kijinga, sasa hv bongo wazenj wanawatawala, wala hamfurukuti!
Wahaya kwa hulka Yao, wanapenda domination, kwenye kila nyanja yenye pesa, na status, Dini,elimu, uchumi, wamezaliwa hivyo, hawataacha kesho, richa ya kuchukiwa na Nyerere na kuwafukarisha by policy, institutinalization of poverty in Kagera, lakini hakuweza, watakosa miundombinu, kagera, lakini huko walipo diaspora, watafanya makubwa, mfano, Bilionea mulokozi, wa Manyara,
Kama hujaoa,oa Muhaya, au, mchaga, utaniambia! Their middle name is ambitions