Tatizo maziwa makuu ni watutsi kujiona lazima waongoze

Watusi sio wabantu bali ni wakush
Wakush ni wasomalia, oromo, ahmara, tigre na tingranya
Ni sahihi...

Watutsi na hizo jamii zote ulizotaja, na nyingine zipo Tanzania, Kenya na Nchi nyingine kama Maasai n.k hizo ndo zinaitwa Nilotic.
 
Ni mtutsi huyo!
 
Kwanini wasukuma waliozamia Zambia mifugo yao ilitaibishwa na wao na wao kurudishwa Tz?
Suala la mhamiaji Kutoka nchi jirani kuwa na haki sawa na raia wengine ni tishio kwa usalama wa nchi ndiyo hao watutsi wa congo wanataka wapewe nchi yao ndani ya congo kitu ambacho hakiwezekani hata ningekuwa Mimi Rais wa congo lazima nikatae. Kumbuka wahima walitokea Ethiopia wakaingia East Africa na central Africa wakanzisha vita na wenyeji wa maeneo hayo na wabantu wakakimbia...Ukiwa Kanda ya ziwa na Uganda Kuna msemo maarufu wa himahima.
 
Ni sahihi...

Watutsi na hizo jamii zote ulizotaja, na nyingine zipo Tanzania, Kenya na Nchi nyingine kama Maasai n.k hizo ndo zinaitwa Nilotic.
Sio kweli nilotic ni tofauti na wakush
Tanzania wambulu ni mfano wa wakush
 
Na huu ndio ukweli,


asili ya MWAFRIKA ni Mbantu,wakushi, Nilotics ni MWAFRIKA aliyechanganya damu ya ngozi nyeupe ,mzungu,indian,Arabs, etc ,
 
Kwa hiyo mwenye akili ni kagame tu na ndugu zake watutsi. Mjinga kweli wewe. Kwa fikra hizo hadi leo tungekua hatujakua nchi huru.
Hujanielewa namaanisha watusi huwa hawakubali tawaliwa na asie mtusi.hivo nawaasa kuwa akili na wasio watusi wanazo tena kuzidi hivo tuishi tukijiona sawa na madaraka apewe yeyote mwenye akili hata kama sio mtusi ,ila hii kusema wako tu atawale wameuawa sana watusi kwa ujinga huo
 
Watutsi ni watu wa hovyo
 
Watutsi ni watu wa hovyo
Sanaaa, watu wasidanganywe na wasiwe wajinga wakufikili, Rwanda na Burundi historical sio Ancestors land ya Watusi, watusi wote East Africa na Kusini Kwa nchi Africa ni wahimiaji wasijibe umuhimu kama wazawa , kwanza Twa na Hutu ndio wenye lugha ya kinywaranda watusi wali adopt baada ya kuhamia Kagame akae vizuri na watu wasio wa Asili yake, ubaguzi wao ndio matoke ya Kila kitu mpka mauaji ya kimbali
 
Hapa tanzania wapuuzi hao wapo? Na kama wapo, wanaleta chokochoko kudai dai madai ya kuzua ili tu waanzishe ya congo mashariki?
Ndiyo. Mfano, wataingiza mifugo makusudi kwenye mapori yetu. Tukianza kuwatoa watadai ni raia na Kagame atawatetea na vita itaanza.
 
Ukienda ,Rutoro na kishuro wapo wengine sana na kwa kwa kuwa serikali yetu ni corrupt tutarajie migogoro miaka ya mbeleni.
 
Mnajiadiri mambo ya watusi wakati hapa kwenu wapo watusikijani anzeni na hao, maana kwao kuone nchi hii wanaongoza wengine ni dhambi ya kuwapeleka 🔥.
Haya waambieni ccm wawasikilize wapinzani ili kupunguza mivutano weeeee wasira atakutana. Hizo kauli utazisikia na jana tu kasema,HAWAFAI KUPEWA NCHI.
Anza nyumbani watusikijani wapo siyo huko kusikokunyima usingizi,wala haki.
 
Categorically, there are more than 6 African phenotypes. Bantus, Nilotes, Cushites, Khoisan, Berbers etc. But don't rely too much on this categorization made by White Men. It's a recipe for disaster​
 
Watutsi wako chini ya 15% kwa Burundi na Rwanda. Ni wachache sana. Wanyarwanda wengi ni Wahutu kama ilivyo kwa Waburundi
 
Wahima watu hatari sana katika eneo la mazima makuu, Kwa mjibu wa historia, Wahima ndio walifukuza makabila ya kibantu kule western Uganda na Eastern Congo miaka ya 1500~1600
Bantu Migration was a hoax concocted by a White Man to divide and control Africans. Actually, there is no distinct group of people who called themselves Bantus.

A White Man forcibly put in a monolith, all African people who speak languages that sounded similar, and called them Bantus.

Even Kinyarwanda and Kirundi are Bantu languages. This should make you question all the narratives White Men have been feeding you.​
 
Kinyarwanda is Bantu language, ila usije ukadanganyika Somali are pure African theirs ancestors are most form Asian after they came Africa the married to African,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…