Wengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?
To you............may I become your nyumba ndogo please! just say yes usianze kutafuta definition ya nyumba ndogo wala maana yake please, I will behave if there is such a thing!
Mmesahau kama mmeshawahi kuapa kuwa kamwe hamtaolewa? sasa mume anatoka wapi tena?
Its because I know where I am landing my feet to!Kweli hii 2012, Dunia ni yako, chaguo ni lako!
ukiweza usijue itakuwa heri kwako, ukijua ni bahati mbaya sababu haiwezekani kutoa baraka, la maana tu usiifwate nyumba ndogo ikakupeleka polisi........... deal na wako huko ndaniWengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?
To you............may I become your nyumba ndogo please! just say yes usianze kutafuta definition ya nyumba ndogo wala maana yake please, I will behave if there is such a thing!
Kweli hii 2012, Dunia ni yako, chaguo ni lako!
ukiweza usijue itakuwa heri kwako, ukijua ni bahati mbaya sababu haiwezekani kutoa baraka, la maana tu usiifwate nyumba ndogo ikakupeleka polisi........... deal na wako huko ndani
word!!!
tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it
and once you get one.... balaa
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
Hicho kichwa chako kinakuambiaje Kipipi?
Kwamba uwe kama mlinzi wa Group 4 security 24/7 kuchunga mali zako usiibiwe?
Babu DC!!
Hicho kichwa chako kinakuambiaje Kipipi?
Kwamba uwe kama mlinzi wa Group 4 security 24/7 kuchunga mali zako usiibiwe?
Babu DC!!
Hii ni special dedication kwa RussianRoullete. The Best Mod in JF history.
Yaani RR take it from me wanaume waaminifu ambao hawana nyumba ndogo wapo wengi sana na hii haiondoshi ukweli kwamba mume wako anaweza akawa mmoja wa hao waaminifu wenye mapenzi ya dhati.
You are so sweeet hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingetafuta nyumba ndogo
You sound so caring hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingemPM yoyote hapa JF.
Unaonekana uko responsible yaani ungekuwa waifu wangu hata overtime kazini ningezikataa
Conclusion:
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Msisitizo
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Narudia tena
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Lawyer anaondoka, naomba wimbo wa taifa
word!!!
tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it
and once you get one.... balaa
The Boss alielewa hili toka post #2, just when you posted, but it took us ages kuelewa. (Thanks to Obsesed!)Naomba niwe mkweli katika hili. Not once! But am thinking of becoming one in the near future lol (Mbu usisome hapa tafadhali!)