Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

Wengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?

Mmesahau kama mmeshawahi kuapa kuwa kamwe hamtaolewa? sasa mume anatoka wapi tena?
 
Wengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?
ukiweza usijue itakuwa heri kwako, ukijua ni bahati mbaya sababu haiwezekani kutoa baraka, la maana tu usiifwate nyumba ndogo ikakupeleka polisi........... deal na wako huko ndani
 
To you............may I become your nyumba ndogo please! just say yes usianze kutafuta definition ya nyumba ndogo wala maana yake please, I will behave if there is such a thing!

...lol, unanitega bana...Hebu nisepe mie...:crutch:

Kweli hii 2012, Dunia ni yako, chaguo ni lako!

...mwj1 anakijua cheo chake kwangu, basi tu anajitoa fahamu, arrrggghhh :smash:
 
ukiweza usijue itakuwa heri kwako, ukijua ni bahati mbaya sababu haiwezekani kutoa baraka, la maana tu usiifwate nyumba ndogo ikakupeleka polisi........... deal na wako huko ndani

ahsante sana.
 
word!!!

tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it

and once you get one.... balaa

Do u have one?....balaa
Kingoz...
 
Hivi we nyamayao.............. ndo nini sasa hivyo? umeganda hapo dirishani unachungulia tu!! hebu bwana
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Thats so sweet of u...
 
Hii ni special dedication kwa RussianRoullete. The Best Mod in JF history.

Yaani RR take it from me wanaume waaminifu ambao hawana nyumba ndogo wapo wengi sana na hii haiondoshi ukweli kwamba mume wako anaweza akawa mmoja wa hao waaminifu wenye mapenzi ya dhati.
You are so sweeet hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingetafuta nyumba ndogo
You sound so caring hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingemPM yoyote hapa JF.
Unaonekana uko responsible yaani ungekuwa waifu wangu hata overtime kazini ningezikataa

Conclusion:
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Msisitizo

Narudia tena

Lawyer anaondoka, naomba wimbo wa taifa
 
If our government could have passed a law for cheating hubby and wife then Our top Govt officials will be the ones to occupy the jail for that purpose... come to Dodoma and see what they're doing with the young Undergraduate students, leaving their wives at home, and hanging around top hotels enjoying fresh apples in the name of top shots, 'nyumba ndogo'
 
Hicho kichwa chako kinakuambiaje Kipipi?

Kwamba uwe kama mlinzi wa Group 4 security 24/7 kuchunga mali zako usiibiwe?

Babu DC!!

Hakuna cha mali hapo babu tunaibiana mawazo tu!! Mambo ya kusema kuwa eti niamini nyumba ndogo ipo ili hata nikishuhudia nisistuke.......hiyo kwangu haipo though siwezi kumchunga mtu!! Babu niliposema kuwa nina uhakika na kichwa changu.....nilimaanisha kuwa sitabebwa kwenye ambulensi for such a thing kama member mmoja alivosema hapo juu!!!
 
Hicho kichwa chako kinakuambiaje Kipipi?

Kwamba uwe kama mlinzi wa Group 4 security 24/7 kuchunga mali zako usiibiwe?

Babu DC!!

Hakuna cha mali hapo babu tunaibiana mawazo tu!! Mambo ya kusema kuwa eti niamini nyumba ndogo ipo ili hata nikishuhudia nisistuke.......hiyo kwangu haipo though siwezi kumchunga mtu!! Babu niliposema kuwa nina uhakika na kichwa changu.....nilimaanisha kuwa sitabebwa kwenye ambulensi for such a thing kama member mmoja alivosema hapo juu!!!
 
Hii ni special dedication kwa RussianRoullete. The Best Mod in JF history.

Yaani RR take it from me wanaume waaminifu ambao hawana nyumba ndogo wapo wengi sana na hii haiondoshi ukweli kwamba mume wako anaweza akawa mmoja wa hao waaminifu wenye mapenzi ya dhati.
You are so sweeet hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingetafuta nyumba ndogo
You sound so caring hata mimi ungekuwa waifu wangu nisingemPM yoyote hapa JF.
Unaonekana uko responsible yaani ungekuwa waifu wangu hata overtime kazini ningezikataa

Conclusion:
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Msisitizo
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.
Narudia tena
Naomba wanawake waachane na dhana ya kwamba kila mwanaume ana nyumba ndogo.

Lawyer anaondoka, naomba wimbo wa taifa

swahiba hujaniasidia hata chembe....................... kubaf yako!!!

yeleeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Naomba niwe mkweli katika hili. Not once! But am thinking of becoming one in the near future lol (Mbu usisome hapa tafadhali!)
The Boss alielewa hili toka post #2, just when you posted, but it took us ages kuelewa. (Thanks to Obsesed!)
Kila la kheri dear, just make sure you are true and honest to each other and mostly to yourself. Sisemi zaidi.
 
Back
Top Bottom