Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi.
Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni mfu, hauna tija na watu wakasema ndio .
Mimi nasema kuwa mfumo huu wa Elimu yetu Tanzania uko vizuri sana .
Licha ya mapungufu yaliyomo ila mfumo uko vizuri sana.
Leo hii kijana mwenye four ya 32 anaweza kuwa na sifa ya kusoma vyuo nchi mbalimbali duniani kwa kada mbalimbali na kuhitimu vizuri kabisa. Yupo kijana mmoja pale Lindi baada ya kupata division 4 baba yake alimpeleka India kusoma mambo ya Afya na akahitimu vyama huku kwa zile pass zake hakuwa na sifa kusoma kada ile hapa Tanzania.
Sina mood ya kuandika paragraph ndefu ila niwaulize jambo hapa.
Watoto wa Kitanzania wengi wamesoma USA na wengine wako huko. Watanzania wenye uwezo wengi hupeleka watoto wao ng'ambo kupata Elimu na wengine wamekwenda ukubwani kupata Master's au PhD na kurudi Tanzania. Je, hawa wameanzisha viwanda gani?
Hawa wamegundua dawa gani muhimu kwa binadamu?
Kuna wanasiasa wengi tu ukisoma CV zao utaona kuwa wamesoma nje, vyuo vikubwa vyenye majina, wako bungeni na wengine mawaziri. Hawa wanasiasa wameleta kitu gani kipya ambacho mhitimu wa SAUT hana?
Hizi International schools Tanzania ziko ngapi?
Hizi hazitumii hii syllabus yetu anayoipondea Heche ya panzi ana miguu mingapi. Je, Tanzania imenufaika kwa kiwango kikubwa na hawa wahitimu wa hizi International schools zenye syllabus nzuri?
Jibu la kuhitimisha ni kwamba tatizo sio mfumo wa ELIMU tatizo ni asili ya mtu mweusi.
MTU MWEUSI ni changamoto sana, akienda kazini anawaza kupiga Dili tu.
Ukimweka juu anawaza pesa tu ingawa anaweza kuigiza kuwa ana uchungu na wananchi.
Hali hii inabidi ifanyiwe resharp personally.
Kama kuna wahitimu wa International schools au waliosoma mbele wamejiajiri hapo tusiisifu elimu yao kwamba imewakomboa, hapo ni stability ya familia zao, wamepata mitaji bila ganzi.
Vijana wengi tu wa hizi shule za kayumba wana ndoto kubwa lakini ukiangalia hawana pa kuanzia. Kukodi fremu Kariakoo kwa mwezi 1ml. Halafu hapo mtu anataka miezi 12 chap na dalali million 1 yake au mbili anaitaka .
Hapo TRA, BRELA TBS wanakuzoom tu.
Au wote waanze kwa kutembeza boxer 10 mitaani?