Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
VAR ije Tanzania ili iweje?

Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside.

Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye zile Sheria aangalia anatatua vipi tatizo lililotokea.
 
Hata ije var itazimwa! Hao marefa match ya yanga na mbeya city walivaa headphone na TV iliwashwa leo hakuna naona hii ni hujuma ili ionekane ni makosa ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom