Kati ya Simba au Yanga Moja wapo lazima ifanye maajabu kwenda Nusu finali....mtaniambia.
Yanga wasipo chekacheka wakawa serious kama mechi ya juzi na waarabu Masandawane wanasandaa uhakika.Simba anauwezo wa kuwatoa miambaa Alahly maana hawana ubora huo wa kuogopwa kama misimu iliyopita.
Tatizo la wachezaji wetu kunanyakati hucheza Bora nimo uwanjani pasipo kujua wakiiwaumiza Timu kubwa kama hizi dhamani zao zitapanda mnoo,fikiria Yanga aende nusu then fainali...Dunia nzima itamulika wachezaji Hawa.
Wito wajitume kwa nguvu zao zote maana ni fursa Yao kimaisha,pia ndio kazi walochagua. Nawatakia ushindi Yanga na Simba na wakiwatoa Hawa kombe mmja anachukua.