Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC.

Ninadhani tumeelewana vyema tu.
Hatujakuelewa ama ndio unagongea nyundo maneno ya semaji la uhusika wa soka 😁
 
Back
Top Bottom