TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,574
Reaction score
4,856
CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi.

Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua majipu hapo CBE.

Wanafanya kusudi watoto wachelewe kuomba nafasi za kusoma vyuo mpaka dirisha la admission lifungwe. Inaonekana kuna watu.wanapokea mishahara bila kufanya kazi. Iko wapi Accountability and proactive work attitude. Wateja tukija maofisini kwenu kutwa hampo ni.kama hakuna nidhamu ya kazi hapo CBE.
 
Mzee samaahan hivi akitaka asome hapohapo CBE kuna ulazima apite NACTVET
 
Mzee samaahan hivi akitaka asome hapohapo CBE kuna ulazima apite NACTVET
Lazima huwezi kupata admission bila nactevet kukupa idhibati ya uhakiki electronically inayoitwa AVN na hupati AVN bila ya chuo husika kuwasilisha matokeo ya mwanafunzi kuanzia muhula wa kwanza mpaka wa mwisho.
 
Back
Top Bottom