Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga

Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75

Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa.

Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni tishio africa tuache kuishi kwa mazoea!!

Screenshot_20230403-232825_1.jpg
 
Sijui umeandika nini!!!!

Nasikitika kuona vijana WA HOVYO hapa Jamii forum wakizidi KUONGEZEKA KWA KASI.

Vijana wasioweza kujenga Hoja.
Vijana we ye kujadili u Simba na u yanga Mda wote.

Ningefurahi kuona Tangu huo Mwaka 1975 Angalau tungekuwa na makombe ya CAF 40.

BAHATI MBAYA HAKUNA HATA KOMBE MOJA.

Hoja nIni kifanyike Ili VILABU vya Tanzania vichukue UBINGWA WA CAF!!!!!

UNAANDIKA VITU VYA AJABU TU HAPA.
 
Mimi ni Simba ila yanga mwaka huu anaweza kuvunja rekodi yetu ya kufika fainali kombe la shirikisho.

Yanga ingekuwa hata CAF Champions league ingefika hatua ya mtoano pia, kama sisi tunatimu yenye mapungufu mengi tumefika robo yanga wangeweza pia. Kwa ufupi wamejipanga sana na miaka ya karibuni watapata sana mafanikio ya kimataifa na kutufunika Simba, kitu tulichokuwa tunajivujia mbele yao ilikuwa mafanikio ya kimataifa.

Kwa hili nawapongeza Yanga. Wakomae timu ngumu ni kutoka Morocco tu ambao fainali ni mechi moja tu.
 
Mimi ni Simba ila yanga mwaka huu anaweza kuvunja rekodi yetu ya kufika fainali kombe la shirikisho.

Yanga ingekuwa hata CAF Champions league ingefika hatua ya mtoano pia, kama sisi tunatimu yenye mapungufu mengi tumefika robo yanga wangeweza pia. Kwa ufupi wamejipanga sana ma miaka ya karibuni watapata sana mafanikio ya kimataifa na kutufunika Simba, kitu tulichokuwa tunajivujia mbele yao ilikuwa mafanikio ya kimataifa.

Kwa hili nawapongeza Yanga. Wakomae timu ngumu ni kutoka Morocco tu ambao fainali ni mechi moja tu.
Ko hawakuepo huko?[emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Akikomaa hata kombe anabeba. Timu ngumu za Morocco tu
Ushikilie unabii mmoja, kama unasema atabeba kombe utamke kwa kunyoosha, usiseme iwapo atakomaa maana asipochukua kombe utajitetea kuwa hakukomaa 🤣
 
Simba hivi mna kombe lolote kimataifa!?
Hatuna, ila tuna rekodi ya kufika Fainali ya Kombe la CAF. Sasa jamaa alidai Yanga wataivunja (sio kuifikia), maana ya kuvunja rekodi ni kuizidi iliyopo, na zaidi ya fainali ni ubingwa!
 
Hatuna, ila tuna rekodi ya kufika Fainali ya Kombe la CAF. Sasa jamaa alidai Yanga wataivunja (sio kuifikia), maana ya kuvunja rekodi ni kuizidi iliyopo, na zaidi ya fainali ni ubingwa!
Rekodi huvunnjwa

Mkuu nilikuwa na presha nikidhani Mshawahi shinda kombe lolote

Kumbe na nyie makapuku tu
 
Back
Top Bottom