Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

Ushikilie unabii mmoja, kama unasema atabeba kombe utamke kwa kunyoosha, usiseme iwapo atakomaa maana asipochukua kombe utajitetea kuwa hakukomaa 🤣
Nasema hivyo kwa sababu ni ngumu ila kwa jinsi Yanga walivyocheza mechi zake za away nafasi wanayo kufanya maajabu. Basi itakiwa timu ya kwanza kufika nusu fainali mashindano ya club afrika tangu mwaka 93( kama sijakosea Simba Vs Asec)
Mind you mimi ni shabiki wa Simba
 
Nasema hivyo kwa sababu ni ngumu ila kwa jinsi Yanga walivyocheza mechi zake za away nafasi wanayo kufany maajabu. Basi itakiwa timu ya kwamza kufika nusu fainali mashindano ya club afrika tangu mwaka 93( kama sijakosea Simba Vs Asec)
Mind you mimi ni shabiki wa Simba
Hivi mechi na Al hilal kule Sudan haikuwa away ? [emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1680601567276.jpg
 
ALAFU UTAKUJA KUAMBIWA HUYU MUANZISHA UZI NAE ANA FAMILIA ...DAH[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mambo mawili hapo

AKILI HUNA au HUNA AKILI.

Kwahiyo aliye nafasi ya 32 ni bora kuliko aliye nafasi ya 8????


Hivi kwanini mnakuwa hivyo jamani?
 
Utopolo haijawahi kushika nafasi zaidi ya no 70. Mpaka sasa hivi. Usituletee hekaya zako za kijinga
 
Saturday, May 10th 1975.

African Cup of Champions Clubs Second Round (1st Leg): Rangers 0-0 Young Africans F.C. | May 1975


Enugu Rangers Football Club of Nigeria play a scrappy nil-nil draw with the Tanzanian cluside Youg Africans at the National Stadium in the Surulere district of Lagos. Source: Reuters News Archive.
 
Saturday, May 10th 1975.

African Cup of Champions Clubs Second Round (1st Leg): Rangers 0-0 Young Africans F.C. | May 1975


Enugu Rangers Football Club of Nigeria play a scrappy nil-nil draw with the Tanzanian cluside Youg Africans at the National Stadium in the Surulere district of Lagos. Source: Reuters News Archive.

Duh
 
Sijui umeandika nini!!!!

Nasikitika kuona vijana WA HOVYO hapa Jamii forum wakizidi KUONGEZEKA KWA KASI.

Vijana wasioweza kujenga Hoja.
Vijana we ye kujadili u Simba na u yanga Mda wote.

Ningefurahi kuona Tangu huo Mwaka 1975 Angalau tungekuwa na makombe ya CAF 40.

BAHATI MBAYA HAKUNA HATA KOMBE MOJA.

Hoja nIni kifanyike Ili VILABU vya Tanzania vichukue UBINGWA WA CAF!!!!!

UNAANDIKA VITU VYA AJABU TU HAPA.
Watu wameweka takwimu wewe unaongea Blahblah sana.
 
Hatuna, ila tuna rekodi ya kufika Fainali ya Kombe la CAF. Sasa jamaa alidai Yanga wataivunja (sio kuifikia), maana ya kuvunja rekodi ni kuizidi iliyopo, na zaidi ya fainali ni ubingwa!
Acha ulongo wewe kama mlifika fainali ya kombe la CAF weka picha za timu yenu wakivaa medali za kuwa washindi wa pili
 
Back
Top Bottom