technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mkuu, mada zako kuhusu Simba na Yanga tangu ujiunge JF zina mchango gani kwenye kuchukua ubingwa wa CAF?Sijui umeandika nini!!!!
Hoja nIni kifanyike Ili VILABU vya Tanzania vichukue UBINGWA WA CAF!!!!!
UNAANDIKA VITU VYA AJABU TU HAPA.
Ko hawakuepo huko?[emoji15][emoji15][emoji15]Mimi ni Simba ila yanga mwaka huu anaweza kuvunja rekodi yetu ya kufika fainali kombe la shirikisho.
Yanga ingekuwa hata CAF Champions league ingefika hatua ya mtoano pia, kama sisi tunatimu yenye mapungufu mengi tumefika robo yanga wangeweza pia. Kwa ufupi wamejipanga sana ma miaka ya karibuni watapata sana mafanikio ya kimataifa na kutufunika Simba, kitu tulichokuwa tunajivujia mbele yao ilikuwa mafanikio ya kimataifa.
Kwa hili nawapongeza Yanga. Wakomae timu ngumu ni kutoka Morocco tu ambao fainali ni mechi moja tu.
Bora umuulize, yaan mtu akishabikia uto...tu akili zinapungua automatically
Maana wanatushangaza hawaBora umuulize, yaan mtu akishabikia uto...tu akili zinapungua automatically
Kuna kuvunja na kufikia. Unamaanisha kipi?Mimi ni Simba ila yanga mwaka huu anaweza kuvunja rekodi yetu ya kufika fainali kombe la shirikisho.
Akikomaa hata kombe anabeba. Timu ngumu za Morocco tuKuna kuvunja na kufikia. Unamaanisha kipi?
Ushikilie unabii mmoja, kama unasema atabeba kombe utamke kwa kunyoosha, usiseme iwapo atakomaa maana asipochukua kombe utajitetea kuwa hakukomaa 🤣Akikomaa hata kombe anabeba. Timu ngumu za Morocco tu
Simba hivi mna kombe lolote kimataifa!?Ushikilie unabii mmoja, kama unasema atabeba kombe utamke kwa kunyoosha, usiseme iwapo atakomaa maana asipochukua kombe utajitetea kuwa hakukomaa 🤣
Tupo CLHivi wapo michuano sawa eehh
Hatuna, ila tuna rekodi ya kufika Fainali ya Kombe la CAF. Sasa jamaa alidai Yanga wataivunja (sio kuifikia), maana ya kuvunja rekodi ni kuizidi iliyopo, na zaidi ya fainali ni ubingwa!Simba hivi mna kombe lolote kimataifa!?
Mbona kingereza tena mimi nisiejua kingereza nafanyaje hapoTupo CL
Any question!!?
Tupo shirikishoMbona kingereza tena mimi nisiejua kingereza nafanyaje hapo
Rekodi huvunnjwaHatuna, ila tuna rekodi ya kufika Fainali ya Kombe la CAF. Sasa jamaa alidai Yanga wataivunja (sio kuifikia), maana ya kuvunja rekodi ni kuizidi iliyopo, na zaidi ya fainali ni ubingwa!