THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Our Enemies,
Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA eti kuwa kwanin Hafi? Mungu kamchukua yeye Captain John Komba kamuacha WARIOBA.
Ishi Sana WARIOBA,huna BAYA...
Yes, WARIOBA anaweza kuwa sahihi kwa anayoyasema na kuyasimamia,lakini tumuulize WARIOBA KWANINI hajiamini?uoga wake ni WA Nini hasa?
Alikuwa hodari sana wa kukosoa enzi za kikwete,Kila linalofanywa yeye YUPO bampa to bampa kukosoa na kushika bango,na kumbuka hadi Kuna kipindi wahuni walifikia hatua ya kumzaba Kofi JAJI WARIOBA,kapitia mengi sana.
Baada ya kikwete kuondoka na Jiwe kuingia,kilichofuatia Kila mtu anakifaham na anakijua Demokrasia ilijifia kifo cha mende,Utawala wa Sheria ulikuwa ni WA kauli ya Mtu mmoja,mkono wa chuma ulishika hatamu na wapinzani wengi walihamia kwa bwana yule kwa lazima kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi, wengine walipigwa Risasi na wengine kukimbia nje ya nchi.
JAJI WARIOBA aliufyata kimyaaa kana kwamba hakuna ambacho kilikuwa kinaendelea,why alikosa UJASIRI JAJI WARIOBA?
Mungu akafanya yake, mwendazake akaondoka na cha moto tulikiona.
Leo imeingia sura nyingine ambayo imeruhusu uhuru wa KUJIELEZA na Demokrasia JAJI WARIOBA huyu hapa karudi mzigoni kwa speed ya SGR.
Why anakosa kujiamini KATIKA hayo anayoyasimamia?tumuelewe vipi ni mzalendo au mpiga ramli kama wapiga ramli wengine?
Ongea WARIOBA,ongea hadi umalize,lakini mawaziri wakuu wastaafu wapo wengi tuh nchi hii,wewe hauna u special wowote wa kujifanya kimbele mbele kwa vitu ambavyo huna UJASIRI WA kuvisimamia pale watawala madikteta wanaposhika hatamu za Dola.