Tatizo wanaume tuna haraka na wanawake. Wengine kuzaa nao ni sawa na kuingia jehanam ya moto kabla hujafa

Huyu ndo anawafaa sasa vijana wa hovyo walamba lips, shiriki kwenye malezi ya mwanao 24/7. Hahaha.

Mnawataka wanawake wapole muwatie mimba muwatelekeze mje na mahubiri ya single mother hafai kuolewa. Wamewehuka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…