Tatizo wanaume tuna haraka na wanawake. Wengine kuzaa nao ni sawa na kuingia jehanam ya moto kabla hujafa

Tatizo wanaume tuna haraka na wanawake. Wengine kuzaa nao ni sawa na kuingia jehanam ya moto kabla hujafa

acheni uvivu bana,
fyatueni kadiri inavyowezekana na kadiri Mungu anavyowajaalia afya njema na zawadi ya uhai.

Mungu akileta mtoto anamleta duniani na sahani yake, huenda anafuata baada ya huyo, sahani yake ndio ikafuta kabisa hali ngumu ya maisha uliyonayo na kubadili historia ya maisha ya familia nzima.

Acheni vizinga na visingizio visivyo na maana yoyote kwenye uzazi na malezi. Fyatueni watoto ipasavyo, walau by 2040 nchi yetu iwe na population ya watu million 100.🐒
Hapana mkuu,kigezo cha baba mwajibikaji lazima kizingatiwe…malezi ni magumu sana nyakati hizi
 
Hapana mkuu,kigezo cha baba mwajibikaji lazima kizingatiwe…malezi ni magumu sana nyakati hizi
unacho kipimo cha kumjua baba bora ndugu mdau?

hakuna ugumu wowote kwenye malezi ispokua ikiwa mlezi ana fake life au anatamani aishi maisha yasiyo yake.

Elimu bure kuanzia chekechea, afya bure n.k ugumu unatoka wap kwa mfano kama sio kujenga dhana potofu vichwani kwamba kuna ugumu kwenye malezi?

hebu zaeni bana acheni visingizio fake 🐒
 
Elimu ni bure kweli? Chakula,mavazi,maradhi yakitokea je?
 
Ndio mkunje mikia yenu sio kila shamba mbamwagilia mbegu tu! Wote wangekuwa vichaa hivi tungepunguza kesi za namna hii kwa rate kubwa sana! kila ukikumbuka umezaa na kichaa unabana pumbu vzr..
Wanawake mnakuwaga camouflagers hata chameleons wenyewe hawawafikii.
Makiwa kwenye mahusiano huwa mnajifanya wapole,watiifu na sofa zingine zote nzuri Amazon kila mwanaume angetaka mwanamke wake awe nazo.

Sasa kimbembe huwa kinaanza mkishawekwa ndani mkazalishwa katoto kamoja ama viwili mnaona mmemaliza kila kitu mnaanza kuota mapembe.

Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Sasa bila maigizo utawekwaje ndani?🤣
 
Hilo kabila kiufupi uwe na hela sio za mawazo
1. Wanajiamini sana
2. Watulivu wafanyakazi heshima ipo
3. Dharau sio za kuulizia
4. Maringo sasa wanaamini hakuna wanawake waziri zaidi yao
5. Wana uwezo wa kupiga tukio zaidi ya wachaga.
Kama huna Hela na familia yenu ni kajamba nani Bora uachane nae. Wanafaa zaidi kuoana wao kwa wao.
Bless sana Mkuu,Cha msingi mapungufu yangu kaweza kunivumilia,ntampa reward
 
Back
Top Bottom