Wanyantuzu sio weupe wote, halafu ni waswahili kupita maelezo na ukiomba unyimwi hata akiwa mke wa mtu.wale ni weupe nilikwambia na sio waswahili hata kidogo!
Akipenda boga apende na ua lake 😆Huyu anakimbia bila kugeuka nyuma
Na wote wanampiga ndumba 😆Sasa utakuta kuna mtu anao kama hao watatu anaachaje kuchanganyikiwa
😀😀Anakuwa anapiga kutaka kutoa taarifa au kupiga mizinga? 😊
Maana kuna ile mtoto kachemka usiku kidogo, unaambiwa tuma hela. 😊
mimi sio ntuzu nyand'ebhe!😀
Siku hizo maua hawayataki.Akipenda boga apende na ua lake 😆
Hahaha 😄😄😄 Akili Hana kmmk
I second you 😄😄Huyu anaweza akakufata kanisani upo madhabahuni unaubili akuachie mtoto asepe. vichaa hawa
Asa mwanaume unazaaje na mwanamke wa hivi jamani,
😂😂😂Yaan we kichwa chako wakijua mwenyewe mkuu🙌🏾fyatueni kadiri inavyowezekana, huto tuchangamoto tudogotugo ni muhimu kuzifanya kua fursa za kujipanga na kua makini zaidi mbeleni.
but kufyatua ni muhimu zaidi, tena ukikutana na mwenye mdomo kama huyo, mjumlishie hata watatu mfululizo bila likizo na itapendeza zaidi.
Mdomo ni kwasababu hana cha kumshughulisha, anawaza vizinga tu kwa mgongo wa hako katoto kamoja 🐒
😀😀Ukisikia kiwanja hiki kina migogoro ndio hapa
Usinunue 😂
wanataka wajipigie tu kama ya kwao eti!Siku hizo maua hawayataki.
mimi mwenyewe tangu nizaliwe ndio nasikia leo..Hao weusi wa wapi?? Ntuzu wa kike weusi ni wachache mno au hawapo kabisa.