Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ni kama maji watayahitaji tu!Sisi ni vifaa acha wahangaike watajaa tu kwenye mfumo
Ni kama maji watayahitaji tu!Sisi ni vifaa acha wahangaike watajaa tu kwenye mfumo
ndio wako hivyo?Njombe moja hiyo
Sijasema😄 ila hiyo ni code ya njombendio wako hivyo?
Hiyo haiwezekani.... Wadogo zangu wazidi kukaza tu cha ni kaburi tu.wanataka wajipigie tu kama ya kwao eti!
acheni uvivu bana,😂😂😂Yaan we kichwa chako wakijua mwenyewe mkuu🙌🏾
From kwa Zulu natalNgoni migrant 😅
inawezekana maana ana kichaa sio kitotoSijasema😄 ila hiyo ni code ya njombe
Aise saw kwa upande wa tabia wapoje maana Kuna mamis hipo kwenye radaAtatuweza wanawake wa ntuzu walivyo na majivuno na dharau????
Ahakikishe kwanza ana Hela. Bila hivyo kungwi Sina la kusema
umeona eeh! tutilie mkazo mpaka waelewe!Hiyo haiwezekani.... Wadogo zangu wazidi kukaza tu cha ni kaburi tu.
Hawa ni wale wanakalia chupa za biainawezekana maana ana kichaa sio kitoto
Duh wana balaa aisee!Hawa ni wale wanakalia chupa za bia
Dah hawa wamevurugwa hasa wa hivyo na maneno yake, hata haitasimamaDuh wana balaa aisee!
Kiukweli wanaelewa!!!! Hii milio ni kuwa hawaamini hii mikakati ya wanawake na namna mnavyochukua kombe kiulaani.umeona eeh! tutilie mkazo mpaka waelewe!
Alipokua anakuambia na kusisitiza sana usimwage ndani umekazana tu kuusukumia na mwisho ukamwagia ndani huku unagugumia umesahau mara hii au sababu ushamwaga ndani? mkuu ungeweza kipindi kile kile ungechomoa na kumwaga nje ili hayo mabalaa yasikukute hata akileta za kuleta unamwambia we pumbavu sikumwaga ndani mimi tena unajiamini kabisa maana uhakika unao ulimwaga nje na alikwambia mwaga njeAnakuwa anapiga kutaka kutoa taarifa au kupiga mizinga? 😊
Maana kuna ile mtoto kachemka usiku kidogo, unaambiwa tuma hela. 😊
Hilo kabila kiufupi uwe na hela sio za mawazoAise saw kwa upande wa tabia wapoje maana Kuna mamis hipo kwenye rada
Poleni nendeni nao taratibu tu itasimamaDah hawa wamevurugwa hasa wa hivyo na maneno yake, hata haitasimama
Nina binamu kapinda hivi sema yeye ni pisi ,na ni mlevi mnoPoleni nendeni nao taratibu tu itasimama