Singlemom wa two kids,hivyo muziki wa kulea naujua mkuu…japo kwa sasa sina maumivu sana ya maisha kama awali.una watoto wa ngapi? umeolewa au kuoa? au wew ni single mother au single father?🐒
malkiaWanguvu right?Singlemom wa two kids,hivyo muziki wa kulea naujua mkuu…japo kwa sasa sina maumivu sana ya maisha kama awali.
🙏🏽malkiaWanguvu right?
I love that 👊
Noma sanamalkiaWanguvu right?
I love that 👊
Hujambo mdogo wangu miss uMalkia wa mipasho kwenye ubora wako 😅
Zamani mwanamke wa ntunzu ukimpiga sound akijaa kwenye mfumo, unamuomba maelekezo anakwambia tukutane mida ya saa9 maeneo ya kichakani ukifika unakuta mtoto kaandaa sehemu ya mechi kafungafunga majani kinakua kama kijumbaAtatuweza wanawake wa ntuzu walivyo na majivuno na dharau????
Ahakikishe kwanza ana Hela. Bila hivyo kungwi Sina la kusema
Zamani hiyo ilikuwa pote sio ntuzu tu!!!!Zamani mwanamke wa ntunzu ukimpiga sound akijaa kwenye mfumo, unamuomba maelekezo anakwambia tukutane mida ya saa9 maeneo ya kichakani ukifika unakuta mtoto kaandaa sehemu ya mechi kafungafunga majani kinakua kama kijumba
Seran
Kwenye ndoa kuna wanawake wawili. Kuna wale muda wowote ukitaka nanihii wako ready. Wewe jisevie anytime. Na kuna wale ukiwaza tu kunanihii unahofia reaction? Vikwazo 500. Ni kama unataka kumkamua Nyumbu kumbe nanihii yako.Anakuwa anapiga kutaka kutoa taarifa au kupiga mizinga? 😊
Maana kuna ile mtoto kachemka usiku kidogo, unaambiwa tuma hela. 😊
Alafu mshahara wa laki nne 😁😁 utasikia ooh wanaume tunakufa mapema. Kwa hali hiyo unaachaje kufa mapemaNa wote wanampiga ndumba 😆
Anakuwa anapiga kutaka kutoa taarifa au kupiga mizinga? 😊
Maana kuna ile mtoto kachemka usiku kidogo, unaambiwa tuma hela. 😊
Huyu anaweza akakufata kanisani upo madhabahuni unaubili akuachie mtoto asepe. vichaa hawa