JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma. View attachment 1501912View attachment 1501913View attachment 1501914
Huyo dada mrembo karibu na khatibu ni nani?? Sababu hao waliokaa hapa ndo ccm sasa.Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma. View attachment 1501912View attachment 1501913View attachment 1501914
Unaliaje kwa mfano...! Yaani unadhani atakayepata nafasi ataiangamiza Zanzibar 'majini' kwamba wewe ungeinyanyua zaidi juu ya maji? Ukiona analia kukosa nafasi kwa vyovyote vile huyo hakuwa na nia njema na Zanzibar. Na hii kwa wagombea wote watakaoshiriki uchaguzi wa mwaka huu...si Tanzania Bara si Tanzania Visiwani(Zanzibar)...ukikosa nafasi ya kuteuliwa kugombea ama ukapata nafasi ya kugombea ukashindwa hapo hapo ukaanza kulia 'kuna' sababu kubwa ya kukufanyia uchunguzi wa kina kujua ulikuwa na nia gani ovu! Kanuni mpya hii!Kumekucha Sasa Hivi Dodoma
Wapo Watakaolia Na Kufurahi Haraka, Tupo Hapa Dodoma Kuona Upepo Utakavyokuwa!!!
Anga zako mkuu,Hahahaha, tumeota wote ..na
Dr Khalid Salum Mohammed ndio YeYe
Mkuu mbona kama bado uzi upo jukwaa la Siasa. Na jukwaa hili huwa na sub-jukwaa la Uchaguzi.Nyuzi zote zinazohusu CCM NA UCHAGUZI 2020 NAONA ZINAONDOLEWA JUKWAA LA SIASA NA KUZIFICHA ZISIONEKANE
HUU MCHEZO ULIANZA TOKA RAISI MAGUFULI ALIPOCHUKUA FOMU ZIKIWEKWA JUKWAA LA SIASA MBIO MBIO ZINATOLEWA NA KUFICHWA HUTAZIONA JUKWAA LA SIASA NA KUZIONA ZILIKO SHUGHULI KULIKONI? HATA HUU UZI UMETOLEWA MBIO MBIO KUFICHWA
MMMMHHHH . . . ya kweli haya mkuu?KARIBU PROF MAKAME MBARAWA 😁😁😂😂👊👊👊
Za wagombea CHADEMA zinakaa jukwaa la siasa za CCM zinahamishimiwa subforum!!! Hata za Akina nabii shila kugombea kupitia chadema ni Jukwaa la SIASA za CCM NI SUBFORUM!!!!Mkuu mbona kama bado uzi upo jukwaa la Siasa. Na jukwaa hili huwa na sub-jukwaa la Uchaguzi.
Yaan humu kuna mambo ya ajabu kweli.... Nilishaacha kushusha nondo zangu humu.... Nimebaki kuangalia tu.... Sasa mtu unaandika vitu.... Afu mtu anakuja kushape na editing za hovyohovyo hapa... Siwezi andika jambo la maanaZa wagombea CHADEMA zinakaa jukwaa la siasa za CCM zinahamishimiwa subforum!!! Hata za Akina nabii shila kugombea kupitia chadema ni Jukwaa la SIASA za CCM NI SUBFORUM!!!!
Ila sio zote za CCM ziko subforum kule zinapelekwa zikae kidogo tu halafu zinapotezewa for good na hii inapumulia mashine itayeyushwa lakini za CHadema utaendelea kuziona jukwaa kuu la siasa sio subforum
.....Acha sisi tutaandika...Unamtishia nani? Usitubabaishe bwanaYaan humu kuna mambo ya ajabu kweli.... Nilishaacha kushusha nondo zangu humu.... Nimebaki kuangalia tu.... Sasa mtu unaandika vitu.... Afu mtu anakuja kushape na editing za hovyohovyo hapa... Siwezi andika jambo la maana
Vuta subra mkuu!Hakuna updates zozote?
Majina matano anayo Magufuli hapo so anatarajia kukata mawili. Mzee mwinyi kama vile anatia huruma hivi. View attachment 1501622
Subiri mkuu UTAONA ukweliMMMMHHHH . . . ya kweli haya mkuu?
Ngoja Mkuu usiwe na Papara ! this is facts .Karibu Mbarawa ProfZanzibar tunakwenda na Dr
Hapana tunasubiri vitowashi vya dodomaHahaha....Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad mshamchoka!?!
Vitowashi vya kanisa katoliki?Tatu bora zangu miye ni:
1. Professor Makame Mbarawa
2. Dr. Hussein Mwinyi
3. Pereira Silima
Kwa Bara Prof Makame ndio ideal Candidate, Hussein Mwinyi ukimya wake unasabisha maswali mengi. Je atapokea orders kutoka ng'ambo ya Bahari?Zaznzibar tunaenda na jecha.