Zanzibar 2020 Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

Aisee ...sikulijua hili. Hata hivyo, ngoja niendelee kufuatilia mwenendo.
 
Mpaka sasa hiyo Tatu bora bado tu?
 
Mimi naona hamna kuzuga isipokuwa ni nafasi ya mafia kula pesa hapo , Wazanzibari si rahisi kuzugwa kwa haya madhila tunayoyapata toka mavamizi ya 1964
Na katika hilo bro.. thats why nawaheshimu ndugu zangu wa z'bar kuliko kitu chochote
 
Tatu bora
1.pereira silima
2.khamisi musa
3.........sio makame wala mwinyi!!!yule mwingine nimemsahau!!!!msaada tafadhali!!!
Narudia kuwaambia tena mtapiga lamli bubu hapa mpaka mchanganyikiwe..... Kama mtaendelea kufuta threads za makada.... Na kuacha za Wapingaji hovyo.... Basi mambo nyeti kujua mtabidi msubili.... Ona sasa mnavyosumbuka.... Majina yameshajulikana ila sasa.... Nani awaambie wakati mnafuta nyuzi?
 
Mimi naona hamna kuzuga isipokuwa ni nafasi ya mafia kula pesa hapo , Wazanzibari si rahisi kuzugwa kwa haya madhila tunayoyapata toka mavamizi ya 1964
Nimeona nguvu ya act ilivyokubwa huko .. nilifurahi hadi machozi...
Sasa huku kwetu washenzi wanaunga mkono upumbavu.
 

Isles next President is Professor Makame Mbarawa Mnyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…