Hii ni hatari, hata ambao hawajawahi kusema sasa wamesema.Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali.
Sikiliza video yake hapo chini
View attachment 3351053
Did she say, “…our Senator Marco Rubio…”?Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali.
Sikiliza video yake hapo chini
View attachment 3351053