Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

They don't give a damn, wakipanga kumuua they won't even think twice. Tanzania/Tanganyika kwa sasa ni mkate wa 'bofulo' ambao umeshachovywa kwenye chai.
Nyumba kadri unavyo haribu foundation ndio unavyo fanya iwe nyepesi kutitia na kuzama, kila step wanayochukua na kufanya ( ile wanasema ukiaa nchale na ukisimama nchale ) ndio walipofikia wakimuu kulana nyama ma nyumba itaanguka na wasipo famya hivyo bado issue ipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…