Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Uombwe msaada kwa Trump aisee
 
Unafurahiaje binadamu mwenzako kuumizwa na/au kunyanyaswa? Una tofauti gani na wale waliofurahia wakati wenzako wakiumizwa na/au kunyanyaswa?

Amandla...
Hawa wapumbavu hawaelewi. Kufurahia mateso ya binadamu mwingine inakufanya na wewe kuwa sawa na yule mtesaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…