Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Raisi pitia haya majina ya tamisemi yakugushiwa


Toa tamko hizo ajira zifutwe ni uhuni wa kiwango cha hali ya

Vyeti feki, chaguzi feki, ajira feki, demokrasia feki.
Mitano tena kwa jina la Yesu na la Muhammad
Wamezoea kudanganya danganya.

Hebu fikiri kama wanaweza kupika majina ya waajiriwa, hali inakuwaje kwenye fedha za umma!

Ni jinsi gani wanavyoiba na kufanya udanganyifu?
 
Ni kweli kuna madudu mengi kwenye hizi ajira, lakini kwenye jina la huyo msela inaweza kuwa ni makosa ya kiuandishi. Kwenye excel huwa kuna ile ya ku-command heading ya kwenye table itoke kwenye kila page, sasa huyu mwandishi atakuwa alijichanganya badala ya kuhighlight ile line ya kwanza yenye vichwa vya habari aka-highlight kwenye line ya pili. Hayo ndiyo yaliyotokea kwenye hilo jina kujirudia! Wataalam wa excel watanisaidia!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mbona umempa Elon Musk kazi ngumu hivyo.
 
Alipata alama reasonable awali two or three years back, akaresit 2019 ili aepuke ualimu, ndo kapata hiyo points 31. Kumbuka aliresit akiwa chuo at the zake time.
 
Huyo aliechapisha nae ni binaadam ana mapungufu yake hivo pengine amekosea tu
Yaani hadi document inafika kwa katibu mkuu, anaitangaza lazima iwe imepitiwa na wakurugenzi, wakurugenzi wasaidizi, maafisa wakuu na waandamizi ina maana wote hawakuona hayo mapungufu
Lazima kuna uzembe wa hali ya juu hapo TAMISEMI
 
"Ole wake Tanzania tusipoisaidia nifanyalo NIMELIWEZA kushauri na kuomba zaidi nifanye nini,
Maanani Jaalia tanzania isijetufia".

MALIMU JK NYERERE.

uongozi wetu na hatma ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…