Chuoni ukiwa na ufaulu wa juu sana , wanakuchukua ili ufundishe. Pengine awamu ya Magufuli inatumia utaratibu huo.Kwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
Na pia huwezi kupata admission ya chuo chochote kama huna vigezo iwe certificate dip au degMkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.
😅😅😅😅😅Chuoni ukiwa na ufaulu wa juu sana , wanakuchukua ili ufundishe. Pengine awamu ya Magufuli inatumia utaratibu huo.
Kakuambia NI YEYE.Bado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo
Index namba yake inaonyesha P2537-0006/2019
Halima Saidi Mohamed
Swali tunalojiuliza inakuaje mtu aliyemaliza form four mwaka jana apate ajira mwaka huu ya ualimu tena shule ya msingi ambapo ...mafunzo yao huchukua miaka 2 ?
Je ni vigezo gani vilivyotumika binti huyu kupata ajira ?
Au ndo ile RUSHWA NI ADUI WA HAKI ILA NI RAFIKI WA DOLA.
Bora zifutwe mkuu. Kuanza upya sio ujingaHuenda kinachotafutwa ni kufutwa kwa hizi ajira hadi itapotangazwa upya na itatumia muda mrefu sana kuja kutangazwa tena
Ndio ivo,walipaswa wawapishe wanye uhitaji.Kipindi chao kimeishaWakati miaka ya jakaya alikuwa ana ajiri wote waliohitimu,tena bila kutuma maombi,INA maana wao waligoma kwenda
Ndugu yangu tuseme uzi umeshindwa kuelewaKakuambia NI YEYE.
Hayo majina hufanana na ndiyo maana tukiwa shuleni sekondaei mkuu wetu wa shule alilazimisha jina moja lazima liwe la KIBANTU kujitofautisha na wengine
Hiyo ni Ms Word nadhaniMs EXCEL haijawahi kuacha mtu salama
Kuna mmoja kapangiwa kufundisha literature in English katika shule ya msingi hahahahaha
Kuna uzi nyingi zilianzishwa kuhusiana na tamisemi ikilalamikiwa badili ya kufanya selection sahihi kwa sababu ya machaguzi ya waalimu wakageuka wapoke rushwa wakuu mara ya kwanza nilikuwanahisi ni baadhi ya watu mwishoni nikagundua kumbe uhuni huu nazani umefanywa na wafanyakazi karibia wote.kwa sababu zifuatazo.
1.Penye rushwa na upendeleo huvunja ufanisi wa kazi kwani haiwezekani jina zaidi ya moja kujirudia zaidi ya mara 196 ingawa baada ya watu kuliona nadhani wamelisahihishwa .tuna watu wa IT walioaminiwa zaidi wamejiriwa pale wengi sasa makosa kama hayo hawakuyaona!? Sasa kama hawakuyaona kuna haja gani ya wenyewe kuendelea kukaaa ofisini.
2.watu wa walimaliza form four mwaka 20019 kupangiwa vituo vya kazi nia aibu na fedheha kw watu tuliowamini kushindwa kutekeleza majukumu yao. Nashauri waziri ambaye atachaguliwa na tamisemi asiwaache watu hawa ofisini kwanini wachezee maisha ya wannchi.(collective resposibilities.)
3.kushindwa kufuata mashariti ya taangazo kwani waliopasa kuajiriwa ni kuanzia mwaka 2014~2019. Wenyewe wameajiri mpaka watu waliohitimu mwaka 1993 form 4 na kuwaacha wahitimu wanaostahili.ikumbukwe awanu ya Jk hakuna mwlimu ambaye hakuajiriwa whitimu wote waliajiliwa. Hao ambao hawakuajiliwa kipindi kile ni either walilipot vituoni na wakapewa pesa za kujikimu kisha wakandoka wakaenda kufundisha private au ni wale waliochukua mikopo benki na kisha kuacha kazi ndio wengi wao wamejiliwa.Na pia kwa utaratibu watmishi hewa waliotumbuliwa kwa nguvu zote tutegemee watarudi kwa kasi.
Itaendelea