Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Bado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo

Index namba yake inaonyesha P2537-0006/2019
Halima Saidi Mohamed

Swali tunalojiuliza inakuaje mtu aliyemaliza form four mwaka jana apate ajira mwaka huu ya ualimu tena shule ya msingi ambapo ...mafunzo yao huchukua miaka 2 ?

Je ni vigezo gani vilivyotumika binti huyu kupata ajira ?
Au ndo ile RUSHWA NI ADUI WA HAKI ILA NI RAFIKI WA DOLA.
Kakuambia NI YEYE.

Hayo majina hufanana na ndiyo maana tukiwa shuleni sekondaei mkuu wetu wa shule alilazimisha jina moja lazima liwe la KIBANTU kujitofautisha na wengine
 
Wakati miaka ya jakaya alikuwa ana ajiri wote waliohitimu,tena bila kutuma maombi,INA maana wao waligoma kwenda
Ndio ivo,walipaswa wawapishe wanye uhitaji.Kipindi chao kimeisha
 
Ni mpumbavu pekee anayeweza amini serikali hii kuajiri walimu zaidi ya elfu moja kwa mwaka
Mnafikiri tofaut na kuziba pengo la walimu wanaostaafu, kufa na kuacha kazi ajira mpya za walimu watawapeleka wapi? Serikali haijajenga shule mpya hata moja mnataka waajiri walimu 10 kweli???
 
Kakuambia NI YEYE.

Hayo majina hufanana na ndiyo maana tukiwa shuleni sekondaei mkuu wetu wa shule alilazimisha jina moja lazima liwe la KIBANTU kujitofautisha na wengine
Ndugu yangu tuseme uzi umeshindwa kuelewa
 
Tamisemi inamaaana imejiri waalimu 4000 tu wa shule ya msingi na imechomekea majina zaidi ya 3000 hewa ambapo nimejaribu kuingiza index namba za hao walioajiriwa shule za sekondari karibia 80% majina haya match (miss match) na majina waliondika ina tamisemi wamepitisha watu bila kupingwa?
 
Wanaojitolea wengi ninaowafahamu jamani hawajapata nafasi
Sijui hao wamewatoa wapi
Kweli watanzania tupo wengi
 
Kuna uzi nyingi zilianzishwa kuhusiana na tamisemi ikilalamikiwa badili ya kufanya selection sahihi kwa sababu ya machaguzi ya waalimu wakageuka wapoke rushwa wakuu mara ya kwanza nilikuwanahisi ni baadhi ya watu mwishoni nikagundua kumbe uhuni huu nazani umefanywa na wafanyakazi karibia wote.kwa sababu zifuatazo.

1.Penye rushwa na upendeleo huvunja ufanisi wa kazi kwani haiwezekani jina zaidi ya moja kujirudia zaidi ya mara 196 ingawa baada ya watu kuliona nadhani wamelisahihishwa .tuna watu wa IT walioaminiwa zaidi wamejiriwa pale wengi sasa makosa kama hayo hawakuyaona!? Sasa kama hawakuyaona kuna haja gani ya wenyewe kuendelea kukaaa ofisini.

2.watu wa walimaliza form four mwaka 20019 kupangiwa vituo vya kazi nia aibu na fedheha kw watu tuliowamini kushindwa kutekeleza majukumu yao. Nashauri waziri ambaye atachaguliwa na tamisemi asiwaache watu hawa ofisini kwanini wachezee maisha ya wannchi.(collective resposibilities.)

3.kushindwa kufuata mashariti ya taangazo kwani waliopasa kuajiriwa ni kuanzia mwaka 2014~2019. Wenyewe wameajiri mpaka watu waliohitimu mwaka 1993 form 4 na kuwaacha wahitimu wanaostahili.ikumbukwe awanu ya Jk hakuna mwlimu ambaye hakuajiriwa whitimu wote waliajiliwa. Hao ambao hawakuajiliwa kipindi kile ni either walilipot vituoni na wakapewa pesa za kujikimu kisha wakandoka wakaenda kufundisha private au ni wale waliochukua mikopo benki na kisha kuacha kazi ndio wengi wao wamejiliwa.Na pia kwa utaratibu watmishi hewa waliotumbuliwa kwa nguvu zote tutegemee watarudi kwa kasi.

Itaendelea

Namba 1,

Ndio ni makosa ya kiufundi.

Namba 2,

Hao nimesikia pahala ni kuwa walikuwa wakijitolea kwenye baadhi ya shule za msingi.

Namba 3.

Mtu anaweza kuwa alimaliza form four ila hakufanikiwa kwenda chuo kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom