Tazama Bombardier Q400 mbili za JAMBOJET Kenya nchini canada zikishukwa!!!!

Kenya Airways is currently a public-private partnership. The largest shareholder is the Government of Kenya (48.9%),38.1% is owned by KQ Lenders Company 2017 Ltd. (in turn owned by a consortium of banks), followed by KLM, which has a7.8%
Kenyans are good definition of insanity..yani you don't own angalau 50% bado mnajisifia..!?
 
Kenya owns the company 78.1%
 
KQ huwapatia wenzetu sleepless nights yani mpaka mtu mwenye ndevu zake anaweza tafuta articles za Kenya mwaka mzima just trying hard to prove a point, lakini ukimuuliza article ya zile bombardier zilizokombolewa mikononi mwa Canada hawezi pata( nasikia zimekaza vyuma kule chato).

Tuliimbiwa nyimbo hapa za Drimlaina kuanza safari za Bombay August, sasa nashangaa kwani kalenda tunayotumia ni tofauti na ya Watanzania?

SGR itakamilika 2019 sasa tuko 2018 na hata metre moja hamna, vyuma kukaza hadi kikaeleweka...hamna pesa itabidi tungoje $400m kutoka kwa wafadhili...sijaona Geza Ulole akiweka Hii taarifa wazi Kazi ni Kenya tu.

Vinyerezi na steiglers gorge tumengoja tukachoka Kazi ni kuzindua tu hamna real progress redeemer na joto la jiwe Kazi kwenu.

Bandari ya Burgermoyo hata Jiwe alichoka kuizindua Geza Ulole it is nearly a decade since you posted something meaningful (the walk not the talk).

The only thing watzee wameweza ni BRT, Kigamboni Bridge(500metres long)...hapa nawapa congratulations. joto la jiwe na Annael kudos.

Omba omba mumewaleta wengi sana hapa Kenya mulisaaa njoo uwaregeshe wenzako bila kufeli .
 
Wewe akili yako ilishaharibiwa na maisha ya slums hatukulaumu sana. Reli ya Dar - Moro itaanza kazi November 2019, wewe nani aliyekuambia by August 2018 tayari vyuma viwe vimekwisha lazwa?, wewe subiri November 2019 uje upande bullet train ya kwanza Afrika, habari ya kutupangia kwamba by now tuwe tumeshalaza reli ni wivu na ujiandae kuumia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aside 9 dreamliners, 10 Embraer plus 1 Boeing 777-300ER (B777-300ER) were loaned. Gosh didn't know that!

Guys we are now getting stupid, ulitaka wannunue cash kama sisi? Biashara ya cash exist only in Tanzania unless kama huna kisomo cha kutosha cha biashara na hasa biashara ya ndege, then ni heri kukaa kimya
 
KQ is the known loss maker stronghold for the long time ⌚

KQ posts record Sh25.7bn loss - VIDEO

Below are the full-year net earnings for KQ in the last five years.

2011-3.53bn profit

2012-1.66bn profit

2013-7.86bn loss

2014-3.38bn loss

2015-25.7bn loss

2016 - 2018 super-duper higher climax losses ever
hapa ndiyo uzalendo kwa watanzania wenzangu unanishinda, Kenya wameweza kufanya Airport yao ya nairobi kuwa the second biggest hub in Africa after Johannesburg, wageni karibu million 4 wanapita kila mwaka, kutoka Seychelles, Tanzania, Congo mpaka kufika hata Nigeria, nk, if I am not wrong nchi 40 daily kuna ndege zinatuwa kwa connecting flights i believe ni only 5% wanaingia kenya na 95% wanapata connecting flights kwenda far East, Europe, na sasa America, can you imagine the multplier effects kwenye economy ya kenya, just fikiria nusu ya hao watu wanakunywa kikombe kimoja cha kahawa kwa pesa ya kigeni, na Kuna duty free shops zaidi ya Mia . Tuwekee arguments ambazo ni positive critical Ili tuweze kujifunza, kwani unafikiri serikali ya Kenya haioni hiyo loss ya Kenya airways, lakini mradi wanaona kuwa Kenya airways ni catalyst kwa foreign exchange earnings bado wanaendelea kuinvest. Shida yetu watazania tumekuwa too much either politised au brainwashed kujua ukweli na kujua tunatoka au tunataka nini. Najua wabishi Tanzanian style watapinga
 
Kaka tunaomba utuambie ili utupe elimu na sisi tuelimike hiyo multiplying effects wanazopata Kenya ni zipi wakati umekiri kwamba ni 5% pekee wanaoingia Kenya?. hao 5% ndio wenye impact katika uchumi mpana wa Kenya ila hao wanaopita sana sana Kenya wanapata pesa za tickets na transit visas fee, lakushangaza pamoja na hiyo idadi kubwa ya wasafiri lakini KQ inaendelea kupata hasara mwaka wa tano mfululizo.

Kenya wanapata hao wageni on transit kwasababu ya KQ, na faida kubwa ya kuwa na ndege za masafa marefu ni kupata watalii na wawekezaji, ironically Tanzanian inapata investors na watalii wengi kuliko Kenya pamoja na kwamba TZ haina ndege wala airport kubwa kwa sasa.

Baada ya ujenzi wa terminal 3 kukamilika mwakani na safari za masafa marefu kuanza baada ya ndege zote zilizpkwishalipiwa kifika nchini ninategemea lugha itabadilika sana.

Ndugu yangu, hivi kweli kuwa tofauti ya connecting flights ni average minimum 2 hrs, na watu wngapi wanaweza kukaaa 2 hours bila kunywa chai, kupiga simu (utatumia mitandao ya kenya) kunywa bia, kununua zawadi, na Nina uhakika katika hao 95% hakuna hata mmoja ana sarafu ya Kenya,mimi sijui mtazamo wako lakini naonaJF kila siku inaanza kupoteza uwezo wa kujadili issues, watu wamejikita zaidi kwenye events, maneno ya shombo, na siasa majitaka
 
Issue ya kuwa na ungezeko la watalii halihusiani kabisa na kuwa na ndege nyingi, mbona ethiopia hakuan watalii? watalii kenya na zanzibar pia wanakuja kwa wingi na charter flights, usijidnganye na local carriers, nenda mombasa au tZanzibar uone, na hao watalii wengi hawana hata shillingi wanakuja kwenye full package iliyolipiwa upfront. Kilichotupa watanzania growth kwenye utalili ni sera ya miaka mingi y kukataa cheap tourists, kwa hiyo investments (hotel nk ) zetu ni kwa watalii matajiri that is why wakati Huu uchumi wa amerika umetengemaa sana unaona watalii wengi wa America wanakuja Tanzania, wakati ukienda kenya utakuta ni wataliano waingereza na EU ambao hawana hela sana, pili sisi tumeshindwa kabisa kujitangaza lakini events za siasa na elshabaab Kenya, zilifungua njia nasema kwa bahati ya mungu kwaani miaka minne iliyopita utalii kenyA ulikufa na watalii waliogopa kwenda Kenya, kwa hiyo tusichnganye mada
 
KQ huwapatia wenzetu sleepless nights yani mpaka mtu mwenye ndevu zake anaweza tafuta articles za Kenya mwaka mzima just trying hard to prove a point, lakini ukimuuliza article ya zile bombardier zilizokombolewa mikononi mwa Canada hawezi pata( nasikia zimekaza vyuma kule chato).

Tuliimbiwa nyimbo hapa za Drimlaina kuanza safari za Bombay August, sasa nashangaa kwani kalenda tunayotumia ni tofauti na ya Watanzania?

SGR itakamilika 2019 sasa tuko 2018 na hata metre moja hamna, vyuma kukaza hadi kikaeleweka...hamna pesa itabidi tungoje $400m kutoka kwa wafadhili...sijaona Geza Ulole akiweka Hii taarifa wazi Kazi ni Kenya tu.

Vinyerezi na steiglers gorge tumengoja tukachoka Kazi ni kuzindua tu hamna real progress redeemer na joto la jiwe Kazi kwenu.

Bandari ya Burgermoyo hata Jiwe alichoka kuizindua Geza Ulole it is nearly a decade since you posted something meaningful (the walk not the talk).

The only thing watzee wameweza ni BRT, Kigamboni Bridge(500metres long)...hapa nawapa congratulations. joto la jiwe na Annael kudos.

Omba omba mumewaleta wengi sana hapa Kenya mulisaaa njoo uwaregeshe wenzako bila kufeli .
Say loss making KQ inawapatia...
 
Ndugu yangu, hivi kweli kuwa tofauti ya connecting flights ni average minimum 2 hrs, na watu wngapi wanaweza kukaaa 2 hours bila kunywa chai, kupiga simu (utatumia mitandao ya kenya) kunywa bia, kununua zawadi, na Nina uhakika katika hao 95% hakuna hata mmoja ana sarafu ya Kenya,mimi sijui mtazamo wako lakini naonaJF kila siku inaanza kupoteza uwezo wa kujadili issues, watu wamejikita zaidi kwenye events, maneno ya shombo, na siasa majitaka
Sasa mbona unaanza kujishuku badala ya kutuelimisha ili tuchangie katika hii point nzuri uliyoileta?. Mimi nimekuambia mambo muhimu yanayochangia uchumi wa nchi yanayochochewa na kuwepo kwa shirika kubwa la ndege na uwanja mkubwa unaopata wasafiri wengi
1)Kupata watatilii
2)Kupata wawekezaji
3)Kupata pesa za tickets na transit visas
Hizi ndizo faida kubwa za kiichumi ziletwazo na abiria wa mashirika ya ndege.

Ukizungumzia kupiga simu na kunywa kahawa ndani ya masaa mawili wanayokaa abiria on transit, sidhani kama hizo zinachangia hata 0.2% ya mapato yanayosababishwa na airline nchini, very very insignificant.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys we are now getting stupid, ulitaka wannunue cash kama sisi? Biashara ya cash exist only in Tanzania unless kama huna kisomo cha kutosha cha biashara na hasa biashara ya ndege, then ni heri kukaa kimya
Basi wasibeze juhudi za JPM kwa vile wameshindwa wao kwa ndege zao za mkopo ambao wanadefault tayari as KQ is minting losses year in year out. Mkopo ni kulipa!
 
Sasa mbona unaanza kujishuku badala ya kutuelimisha ili tuchangie katika hii point nzuri uliyoileta?. Mimi nimekuambia mambo muhimu yanayochangia uchumi wa nchi yanayochochewa na kuwepo kwa shirika kubwa la ndege na uwanja mkubwa unaopata wasafiri wengi
1)Kupata watatilii
2)Kupata wawekezaji
3)Kupata pesa za tickets na transit visas
Hizi ndizo faida kubwa za kiichumi ziletwazo na abiria wa mashirika ya ndege.

Ukizungumzia kupiga simu na kunywa kahawa ndani ya masaa mawili wanayokaa abiria on transit, sidhani kama hizo zinachangia hata 0.2% ya mapato yanayosababishwa na airline nchini, very very insignificant.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu kwa ufasaha sana mkuu,kwa nia ya kutoa elimu soma # 31
 
Sasa mbona unaanza kujishuku badala ya kutuelimisha ili tuchangie katika hii point nzuri uliyoileta?. Mimi nimekuambia mambo muhimu yanayochangia uchumi wa nchi yanayochochewa na kuwepo kwa shirika kubwa la ndege na uwanja mkubwa unaopata wasafiri wengi
1)Kupata watatilii
2)Kupata wawekezaji
3)Kupata pesa za tickets na transit visas
Hizi ndizo faida kubwa za kiichumi ziletwazo na abiria wa mashirika ya ndege.

Ukizungumzia kupiga simu na kunywa kahawa ndani ya masaa mawili wanayokaa abiria on transit, sidhani kama hizo zinachangia hata 0.2% ya mapato yanayosababishwa na airline nchini, very very insignificant.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote zitatu hola kwa Kenya!
 
Kenya Airways is currently a public-private partnership. The largest shareholder is the Government of Kenya (48.9%),38.1% is owned by KQ Lenders Company 2017 Ltd. (in turn owned by a consortium of banks), followed by KLM, which has a7.8%
Kenyans are good definition of insanity..yani you don't own angalau 50% bado mnajisifia..!?

Sisi hizi tayari tunazo. Sasa tunaongelea DreamLiners.
 
Sasa mbona unaanza kujishuku badala ya kutuelimisha ili tuchangie katika hii point nzuri uliyoileta?. Mimi nimekuambia mambo muhimu yanayochangia uchumi wa nchi yanayochochewa na kuwepo kwa shirika kubwa la ndege na uwanja mkubwa unaopata wasafiri wengi
1)Kupata watatilii
2)Kupata wawekezaji
3)Kupata pesa za tickets na transit visas
Hizi ndizo faida kubwa za kiichumi ziletwazo na abiria wa mashirika ya ndege.

Ukizungumzia kupiga simu na kunywa kahawa ndani ya masaa mawili wanayokaa abiria on transit, sidhani kama hizo zinachangia hata 0.2% ya mapato yanayosababishwa na airline nchini, very very insignificant.

Sent using Jamii Forums mobile app
Not true, ticketing imekuwa digitised na soo cheap hakuna hatta airline inatoa ticket, ni kikaratasi u simu n kitabulisho unasafiri, Kenya na nchi zote zinazofaidika n uchumi w style hii visa ni BURE endelea kuuliza
 
Issue ya kuwa na ungezeko la watalii halihusiani kabisa na kuwa na ndege nyingi, mbona ethiopia hakuan watalii? watalii kenya na zanzibar pia wanakuja kwa wingi na charter flights, usijidnganye na local carriers, nenda mombasa au tZanzibar uone, na hao watalii wengi hawana hata shillingi wanakuja kwenye full package iliyolipiwa upfront. Kilichotupa watanzania growth kwenye utalili ni sera ya miaka mingi y kukataa cheap tourists, kwa hiyo investments (hotel nk ) zetu ni kwa watalii matajiri that is why wakati Huu uchumi wa amerika umetengemaa sana unaona watalii wengi wa America wanakuja Tanzania, wakati ukienda kenya utakuta ni wataliano waingereza na EU ambao hawana hela sana, pili sisi tumeshindwa kabisa kujitangaza lakini events za siasa na elshabaab Kenya, zilifungua njia nasema kwa bahati ya mungu kwaani miaka minne iliyopita utalii kenyA ulikufa na watalii waliogopa kwenda Kenya, kwa hiyo tusichnganye mada
Kaka ningekuomba ujielimishe kwanza kabla ya kuchangia inaonekana huna taarifa kabisa na dunia ya leo. Ethiopian inapata watalii wengi kupita Kenya and Tanzania combined, mwaka juzi 2016, Ethiopia ilipata $3.5B, wakati Tanzanian ilipata $2.1B na Kenya $700M.

Watalii ni watu kama kundi la watu wengine wowote wale duniani, kuna matajiri sana ambao wanatumia private charters, lakini 80% ya watalii wote duniani hutumia passenger flights, kama umeshawahi kusafiri na ndege kubwa toka nje ya nchi zikifika KIA watalii wengi hushuka na mnakuja Dar ndege ikiwa tupu.

Hayo mengine ya watalii kutoka marekani ni matajiri zaidi ya Europe ndiyo sababu tunapata watalii wengi, ninaelewa unachotaka kukisema, lakini unajichanganya. Tulia usipaparike jipange ujiweke sawa uje kivyengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom